Social maniac
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 357
- 428
Huyu kijana wa hip hop nimesikiliza ngoma zake kadhaa kama makaveli, nipende, shots, kuntu na leo nimesikia ngoma yake mpya inaitwa "stay true", nakiri huyu dogo anaweza sana. Ana rhymes, lyrics (though not so conscious) na flow nzuri. Huyu dogo akipewa support ya kutosha naona atakalisha matembo wengi sana.
USHAURI: Dogo ajitahidi kutoa videos kali na za kueleweka, pia atafute kolabo na wasanii nguli wa huu muziki(hip hop).
ANGALIZO: Kwa wale watunza misingi (misingi ya Hip Hop) ni ngumu sana kumuelewa huyu dogo.