Disminder de alfa
New Member
- Jul 5, 2020
- 1
- 1
Kwa wale walio wahi kufanya oral interview utumishi watujuze huwa iko na maswali ya namna gani?
Pale jengo la Utumishi karibu na kivukon kwenda kigamboni au karibu na stand ya kivukoni.Hivi ofisi za utumishi zipo kivukoni sehemu gani?