Mzee ES,
sasa umeona ukweli unavyozidi kujitokeza hapa?...
Kuna huyu anayejiita Mzee mwanakijiji ambaye anakuja na mapenzi yake bila hata kufikiri, jitu zima linasema ovyo! Yaani sikuelewa kama huyu jamaa mwenyewe ndio kundi la hao ambao kwamba!
Ebu nambieni jamani Mtume aliandika barua mwaka 628BK hiyo BK imesimama kama kifupi cha nini? Before Christ!.. hii mpya, na hata kama ikiwa baada ya Christ.
Je anafahamu kwamba Mtume hakujua kusoma wala kuandika zaidi ya hapo nchi gani za magaharibi ambazo anazungumzia zilikuwepo kiutalawa wakati ya mtume na waliweza kusoma Kiarabu. Huko Saudia kwenyewe wasomi walihesabika tena wanaojua kusoma na kuandika ndio elimu kubwa wakati huo nani aliweza kuandika lugha nyingine tofauti na kuzituma ktk mataifa.. pia hizo barua zilikwenda kwa njia gani.. DHL?... nani alimtambua Mtume kama kiongozi hali - waarabu wajulikanao kama Wasabi (Kureish) ndio walikuwa watawala. Yeye kama nani aandike barua hali maisha yake yote mwenyewe alikuwa akijificha kati ya Mecca na Madina.
Jamani acheni upuuzi wenu tunazungumzia mtu mmoja ambaye kaja na agenda yake. Siwezi kuutukana Ukristu kwa sababu ya agenda za Bush na kusema anafuata mafundisho yaa. Tuwe watu wazima, na ndio maana sikutaka kabisa kujiunga na hiyo site yake maana anaongea kama MLOKOLE!... Siasa na Dini vitu tofauti ndugu yangu unaonekana Mchawi tu. Mawazo yako yanaweza kuwa mazuri sana lakini kwa siasa za Bongo unaonekana sawa na huyo mwendawazimu Ahmadinejad.