Habarini wadau,Mimi ni mmoja kati ya watu waliofanya interview leo pale ukonga moja kati ya vitu walivosema twende navyo ni picha 2 lakini cha kushangaza hawakuzihitaji hebu nisaidieni wale waliofanya leo je kuna ambao waliuliziwa picha?

Jaribu kuwauliza walengwa ndugu kwani ni binadamu huwenda wakawa wamepitiwa labda. Vp maswal yao yalikuwa kama mangap? Ya kawaida sana? Na ulichukua kama muda gan kuhojiwa ndg?
Habarini wadau,Mimi ni
mmoja kati ya watu waliofanya interview leo pale ukonga moja kati ya
vitu walivosema twende navyo ni picha 2 lakini cha kushangaza
hawakuzihitaji hebu nisaidieni wale waliofanya leo je kuna ambao
waliuliziwa picha?
Basi kama wameuliza vyeti sidhani kama kuna tatizo sana kwasababu picha mara nyingi zinahitajika unapokuwa umeshapata ajira. Nakutakia kila la heri maana ushindani bado ni mkubwa sana.