Hello wanajamvi, hope mko pouwa!
Jamani naomba kuuliza kwawale walofanya oral interview ya customer service Technobrain jumamosi, vipi kuna ambaye ameshapigiwa simu? akina Renyo na wengine mlofanya hii interview naomba tupeane update if any!
Natanguliza shukrani.