Je umeitwa kwenye interview au hujaitwa???Nimesikia kuna raia zimeitwa kwa oral interview hivi hii taarifa inaukweli wowote???
Na kama itakuwa kweli hivi maswali yao ya oral hawa jamaa yapoje kwa wale wenye uzoefu.
NB
Lugha za kebehi, matusi au kama hujui soma amsha.
Subiria uitwe kwanza ndo uombe madesa kwa wana,sasa utaanzaje kununua magauni ya mtoto atakayezaliwa,je akija dume??SIJAITWA JOMBAA WALISEMA HADI IJUMAA KILA KITU KITAKUWA NAKED.....VIPI UMEITWA?
Hahahahhaa jf naipenda kwa majib kama hayaSubiria uitwe kwanza ndo uombe madesa kwa wana,sasa utaanzaje kununua magauni ya mtoto atakayezaliwa,je akija dume??
hahahahahahaaaSubiria uitwe kwanza ndo uombe madesa kwa wana,sasa utaanzaje kununua magauni ya mtoto atakayezaliwa,je akija dume??