Oral interview Assistant Inspector Immigration (Uhamiaji)

Oral interview Assistant Inspector Immigration (Uhamiaji)

mbasajohn

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2009
Posts
247
Reaction score
39
Wadau nimefanikiwa kupita mchuzo wa 10,000+ ya uhamiaji lakini hapa sina ninaye mjua pale uhamiaji au mtu ambaye alishawahi kufanya kazi uhamiaji na hivyo sina referee except kichwa changu tu. Sasa wenye utaalam na oral interview za uhamiaji hebu wekeni wepesi kwa kijana mwenzenu angalau kwa kutoa possible question ambazo naweza kumbana nazo pale ili kijana nipige msuli kama naenda kupiga UE.
JAMAN MSAADA WA MASWALI AU AREA AMBAZO NATAKIWA nisome KUJIANDAE KWA AJILI YA ORAL YA UHAMIAJI YA ASSISTANT INSPECTOR.
THANKS
 
jua kazi za uhamiaji,jua kila mpaka kwa majina tanzania nzima,mjue wazir wa mambo ya ndani na nje,regiona ofisa dar es salam na katibu wake, hope nmekupatia maswali baadhi kazi ni kwako
 
Back
Top Bottom