Oral and computer interview

luckyperc

JF-Expert Member
Jan 17, 2011
495
195
Wadau kwa mwenye uwezo anisaidie jinsi maswali ya NAO kwa upande wa computer huwa wanauliza maswali ya aina gani.

 

NYENJENKURU

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
1,028
1,250
Wadau kwa mwenye uwezo anisaidie jinsi maswali ya NAO kwa upande wa computer huwa wanauliza maswali ya aina gani.
Ili ndo tatizo la kuzoea madesa!Wewe jihandae kwa unayoyajua tu kule hakuna fomula ya kuuliza maswali inategemea na wewe unavyojipeleka kwenye swali ndo hapo utakapo banwa.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom