sioni rangi yoyote
Nimeona kwenye TV wanasema ni Blue and Black
Is this even serious?
Siamini kama kuna mtu timamu anaweza ona Gold na white kwenye hiyo nguo.
Its definitely black and blue.
Hii picha ya hili gauni imeleta mtafaruku na ubishi kidogo na watu wangu wa karibu,ubishi huo unatokana na rangi zinazoonekana kwenye hiyo picha,wengine wanasema ni BLUE & BLACK wengine wanasema ni WHITE & GOLD. Nyie mnaonaje?
picha ni ile ile,your mind is playing tricks on you..
Wapo waliosema hivyo pia lakini walikuwa wamelewa