Mshahara shingapi kwa mwezi?Tunatafuta technicians kwa ajili ya fiber splicing kwenye GPON project.
Location Dar es salaam. Ikiwa uko tayari DM kwa maelezo zaidi.
Yupo kijana wangu, mtalaam sana wa hizo kazi, nimeshindwa kuja PM naona kama umefunga.Tunatafuta technicians kwa ajili ya fiber splicing kwenye GPON project.
Location Dar es salaam. Ikiwa uko tayari DM kwa maelezo zaidi.