Oprah Winfrey told she can't afford an expensive handbag


can u imagine! alidhani matajiri wanajioneshaga ... wengine hadi trains na busses wanapanda!
four national language?oh waoh..but yet they are racist! so sad!
 
Reactions: kui
I have been to Switzerland na iwapo sijakuwepo hapo niko convinced kuwa hiyo inauwezekano mkubwa zaidi wa kuwa ukweli.

Zurich hata ukifika Airport tu kuna polisi wanasimama mlangoni mwa ndege kuscreen watu weusi!!!

.......Nimepita airport nyingi, ila Zurich ni too much!! Polisi wa pale utafikiri waliambiwa kila mweusi ni gaidi.
Utasachiwa hadi utakoma. Sipendi swiss flight at all now. Na hii issue ya madawa TZ mbona watz watakaopita zurich airport watavuliwa hadi nguo.
 
Kwa mfano huu hatupaswi kuwanyenyekea wazungu.pia funzo kwa viongozi wanapaswa kusimamia mali asili zetu ili wazungu watuheshimu Kama watu wenye pesa pia.
 
"Au unaweza kutana na kitoto cha kizungu kinakuangalia kama yupo zoo!!! "
  • LOL!...oh! gosh mkuu you brightened my sat!, afadhaly wewe kakuangalia mi katoto kaliniuliza," why are you blue?"
 
Ni ubaguzi. Hata hivyo hakuna kilicho haribika. Ni sawa na amemnyima kunde tu....(kampunguzia mengi...)
 
The same thing happened to me in Amsterdam central in 2010.
I had entered into a Diamond shop and was looking at a particular stone through the Glass.
The manager walked past me and said
''You can't pay for that young man''..

I checked the price and it was €42.000.. ( Fourty two thousand Euros)
 
Huyo mwuzaji angejua tu mtu aliyekuwa anaongea naye anauwezo wa kumnunua yeye,boss wake na huo mkoba
 


Was the Manager right? Je ungeweza ku mudu?
 
Was the Manager right? Je ungeweza ku mudu?

he was right.nilikuwa na dolla 20,000 tu sababu nilienda kujipongeza baada ya kugraduate.

nisingeweza kununua alikuwa sahihi lakin cha ajabu vijana wa kizungu na wazee wengi waliingia kuangalia japo awakununua lakin awajaambiwa hivo
 
Nitapingana nawe pamoja na ZeMarcopolo nimekuwa nikitumia Zurich Airport kama transit point. Na mara zote sijawahi kusachiwa na kupekuliwa tofauti; uwa nasachiwa na kupekuliwa sawa na wazungu, wachina, wahindi, wamarekani, waarabu n.k. Mara zote uwa ni utaratibu ule ule, vua viatu, vua mkanda, vua koti, weka vitu vyote vya chuma, pita kwenye metal detector, detector inaonyesha alama ya kijani, kisha nachukuwa vilivyo vyangu na kula hamsini zangu. Hata siku moja, sijawahi kuingizwa kwenye tule tuvyumba vya kuaibishana, kwa ajili ya physical screening!! Huu ndiyo uzoefu wangu wa Zurich Airport; na Swiss International (a Star Alliance Member) is my best flight.
 
Last edited by a moderator:

Zurich hujakuta kwenye mlango wa ndege kabla hata hujaingia kwenye jengo la airport kuna polisi wamesimama mlangoni. Wanaangalia sura, wakiona namna gani wanaomba kukagua passport. Watu weusi wanakaguliwa zaidi kuliko wazungu. Unaweza kuona wazungu wako mbele yako kama nane hivi hakuna aliyekaguliwa, the moment unafika black jamaa anakuita.

Huwa ni kucheck passport tu na kwa sababu sijawahi kuwa na magumashi, haijawahi kwenda zaidi ya hapo.

Mimi ndio maana nimeacha kupanga Swiss. Ndege nyingine niliyoacha kupanda ni Egypt Air. Na wenyewe wana ushenzi wa kuzingua watu weusi/waafrika. Hawa ndio wana chumba chao kabisa cha watu kusubiri wakati passport zao zinakaguliwa, ukiingia kwenye kile chumba utakuta waafrika tu wamejaa. Unaweza kufikiri wote wanaenda sehemu moja, kumbe hapana ila doccs zao zinakaguliwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…