Oprah Winfrey told she can't afford an expensive handbag


Ilikuwa ni karne ya 19. Kuanzia mwaka 1861 hadi 1865.
 
Ebu someni kipande cha mahojiano ya BBC na mmiliki wa duka hasa hapo kwenye red. Hivi hawa spoilt customers ni watu gani?
Shop owner Trudie Gotz told the BBC that Winfrey was "absolutely allowed" to look at the $35,000 (£22,500) bag, which was kept behind a screen.


BBC News - Oprah Winfrey 'racism row' a 'misunderstanding'
 
Yap, mhudumu alikuwa na haki ya kumwambia kuwa hawezi bei yake, hiyo fedha ni sawasawa na shilingi za kitanzania 57,750,000.00
 
Yap, mhudumu alikuwa na haki ya kumwambia kuwa hawezi bei yake, hiyo fedha ni sawasawa na shilingi za kitanzania 57,750,000.00
Ule mkoba nina wasiwasi ulikuwa "sembe"... si mnawajua waswisi kwa madili...ya kuua vizazi...wameficha pesa zawezi wetu watashidwa kutengeneza sembe...!!
 
Ule mkoba nina wasiwasi ulikuwa "sembe"... si mnawajua waswisi kwa madili...ya kuua vizazi...wameficha pesa zawezi wetu watashidwa kutengeneza sembe...!!
Mmmmh!!!, sidhani. inawezekana ndio bei yake.
 
Mi nafikiri hii ni political movement for swiss to change their rules on asylum and migrants status..
 
Matendo yetu na umasikini wetu ndiyo yanasababisha kuwa demonised sehemu nyingi za 'bei mbaya'.

Siyo jambo la ajabu ukiingia sehemu yoyoye ile inayouza vitu vya bei 'mbaya', body language ya walinzi na wahudumu utaiona inavyokuwa na mashaka na wewe. Unaangaliwa sana kwa kila unachokifanya, bahati mbaya zaidi, walinzi wengi wanaokufuatlia sana nyendo zako wanakuwa ni watu wenye rangi kama yako.

Pamoja na kuwepo kimaandishi kwa falsafa ya Presumption of innocence katika nchi za magharibi lakini mara nyingi kinachofanyika ni kinyume chake.

Huu uzoefu nimeupata sana katika nchi za Europe. Inaumiza sana kuona unaangaliwa na kufuatiliwa na walinzi wakati anafanya shopping dukani.
 
Reactions: kui
[h=5]NI UBAGUZI WA RANGI AU?


Je unamfahamu Oprah Winfrey? nchini Switzerland wengi hawamfahamu Oprah.

Mama MMOJA muuza duka alikataa kumuuzia Oprah Winfrey Handbag ya Pauni 24,477 baada ya kumwaMbia kuwa hawezi kuimudu bei hiyo.

Oprah ambaye ni BILIONEA pekee mwanamke MWENYE ASILI YA kiafrika aliondoka kwenye duka hilo bila kuzua rabsha zozote..........lakini hebu takari ikiwa angejitambulisha kwa muuza duka hali ingekuwa vipi? Mmiliki wa duka hilo ameomba radhi kwa hilo........Kumuka kuwa Oprah ana uwezo wa kununua chochote akitakaco katika dunia hii........lakini muuza Handbag kamwambia hawezi kumudu handbag?
[/h]




CHANZO.BBC
 
Oprah alikuwa kitafuta vipi atayarishe show yake na ndio kapata hapo
Anyway ubaguzi upo na wala hauondoki
 
Oprah alikuwa kitafuta vipi atayarishe show yake na ndio kapata hapo
Anyway ubaguzi upo na wala hauondoki

soo true hapo, ni kujua jinsi gani kukabiliana na ubaguzi. I.m glad sipo sensitive na ubaguzi na nimefika sehemu nyingi sana tena weusi wachache/wa kuhesabika ila sijawahi kuhukumu watu fulani ni wabaguzi hata kama nilipatwa na 'incidence' gani..!!
ubaguzi upo na hauwezi kuishi duniani.. Sema inshu ya huyu mama sijamsoma vizuri!!
 
Badilisha hiyo avatar yako basi kama unamaanisha unachosema
 
Mshaanza kuchakachua...bei yake ni $35,000

Nimeangalia CNN this morning na Don Lemon kasema ni 38K.
Jamani hata mastaa wetu wa bongo mbona wanamiliki purses expensive zaidi ya hiyo iliomletea Oprah zahma
 
Haya mambo hata bongo yapo kuna siku nilikwenda posta Dar. kuna duka moja linaitwa JD Shop la wahindi.

Wanauza suti na viatu, wakati nimo ndani naangalia nguo mara akaingia jamaa mmoja dukani, yule muhudumu aliyekuwa ananihudumia mie anamwambia muhudumu mwenzake msikilize huyo pasi ya mkaa.

Nikamuuliza kwa nini unamuita pasi ya mkaa akanijibu hawezi kununua kiatu laki na nusu au suti laki 4.
 
Reactions: EMT
Kweli, Oprah alikosea; pale angemwonyesha huyo mhudumu jeuri ya pesa. Tena angenunua begi hilo kwa cash na kumwachia huyu mhudumu tip ambayo hatoisahau maishani mwake.

You know Oprah is a mature lady and she handled the situation accordingly. Angekuwa kadada kaliko pinda kama Nicki Minaj angemuonyesha credit card balance halafu hizo figures zingefanya hako kajizungu kapige magoti.
Ubaguzi bado upo sana hasa kwenye ulaya ya wazungu ambao hawahusudu kuchanganya race. Nazi like miniacs
 

eeeehhh,,,,, hivi huyo Tina Turner bado anaolewa olewa tu?! Au siyo ninayemfahamu?
 
Oprah alitakiwa kusema 'what have you said? ok, give me ten pieces... wazungu hawapendi kutumwa na waafrica. nilienda nchi moja sasa pale hotelini nilipofikia chini kuna counter nikawa nakunywa soda pale na wenzetu na wao ni wa asiri ya kiafrica ila wako huko huko (wenyeji) tunaongeaongea, basi yule muhudumu mdada wa kizungu alikuwa amekasirika kimoyomoyo sana.Akaamua kuweka channel moja ambayo inonyehsa documentaries za matatizo ya waafrica full time. Jamaa niliokuwa nao walikua wamepinda wakaanza kuagiza pombe na kuagize hiki na kile kila wakati na tukakaa zaidi ya tulivyokua tumepanga kuwepo hapo counter. dada alibadilika rangi ya uso lakini tukakomaa nae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…