Nilikuwa curious kujua why na yeye ametuhumiwa kutumia racecard...
I have been to Switzerland na iwapo sijakuwepo hapo niko convinced kuwa hiyo inauwezekano mkubwa zaidi wa kuwa ukweli.
Zurich hata ukifika Airport tu kuna polisi wanasimama mlangoni mwa ndege kuscreen watu weusi!!!
Ni lazima wascreen watu weusi, maana baadhi ya serikali Afrika ikiwemo yetu zimeshindwa kuzuia ipasavyo upakiaji wa madawa ya kulevya kwenye ndege, iwe kwa kumezwa na 'punda' au kubebwa kama mizigo. Kibaya zaidi tatizo limeshamiri maana wahusika wanaotajwa karibia wote ni 'vigogo' wa serikali au wanamahusiano na viongozi wakubwa serikalini.
$38,000 purse!!!

Hii imetokea Florida mwezi ulopita. Madogo watatu weusi walimpa kibano dogo mmoja wa kizungu kwenye school bus. Haija make headlines kihivyo. Why? Had it been the other way round there would have been marches and speeches like never before. Why?
Hata wale weusi wanaokweda huko kucheki accounts zao za benki?
Hivi ni hapa JF nilisoma kuwa kuna Mtanzania alienda huko kucheki account yake, wakawa wanamkatalia kutokana na jinsi alivyokuwa amevaa?
Perhaps it was in response to this? When it comes to race, America never stop to amaze me
Ni lazima wascreen watu weusi, maana baadhi ya serikali Afrika ikiwemo yetu zimeshindwa kuzuia ipasavyo upakiaji wa madawa ya kulevya kwenye ndege, iwe kwa kumezwa na 'punda' au kubebwa kama mizigo. Kibaya zaidi tatizo limeshamiri maana wahusika wanaotajwa karibia wote ni 'vigogo' wa serikali au wanamahusiano na viongozi wakubwa serikalini.
SS Bakhresa alikwenda kucheki mkwanja wake Switzerland. Sasa jamaa kashajizoelea humble dressing kibongobongo, watu wakamuona huyu mfagizi gani anataka kutuchafulia hewa hapa, wakawa kama wanataka kumtoa maana haelekei kuwa na uwezo wa ku bank hapo.
Jamaa akawatolea relevant credentials kwamba ni mteja wao, wakaaenda kuangalia wakakuta si mteja tu, bali ana hela ndefu sio "minimal deposit". Ikabidi watake kumlamba miguu.
I have to say, while in Zurich I did find some stares to be unusually cold. Mdada duka la saa anakuangalia kama vile unapoteza muda wao tu una peruse huwezi kununua. Niliponunua akawa kama kashangaa lakini soo.
I am the last person to lump people together but I was tempted to say "these Germanic tribes, I guess the Holocaust wasn't enough!".
Hii imetokea Florida mwezi ulopita. Madogo watatu weusi walimpa kibano dogo mmoja wa kizungu kwenye school bus. Haija make headlines kihivyo. Why? Had it been the other way round there would have been marches and speeches like never before. Why?
Is there any race issue in this other incident?
Hata wale weusi wanaokwenda huko kucheki accounts zao za benki?
Hivi ni hapa JF nilisoma kuwa kuna Mtanzania alienda huko kucheki account yake, wakawa wanamkatalia kutokana na jinsi alivyokuwa amevaa?
hii ndio akili ya kiswahili, tena umesahau kusema angemuuliza "unajua mi ni nani?"
Misunderstanding iko wapi hapo...umemwambia mtu hawezi bei ya bidhaa.nukta!
Hamna cha ku-misundertand hapo kamanda.
Maybe, tofauti na akina Bakhresa na wengine, Oprah hatambuliwi huko kwa sababu hahifadhi pesa zake kwenye benki za Uswisi?