Jamaa_Mbishi
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 10,181
- 7,381
Mawazo ya kipunguwani kabisa haya..wakenye sio mabwege kama mlivyo watanzania mnashabikia vitu visivo na tija na maana katika maisha yenu
Serengeti, the country's second largest National Park, ????????
Afadhali mmejua aliyewahi kugongana naye, kama isingejulikana na ikawa siri yake angepakaziwa kuwa ni msagaji.kweli mkuu.huyu mama hata uezekaji wake unatia shaka.ni kama anakuwa kijana vile.inasemakana chekbob jemmy fox kagonga sana mzigo wa huyu bmkubwa.lol.
Welcome in Tanzania the most peaceful country in Africa Continent
Wakenya mwaka huu wivu utawatoa roho wakisikia na hii.
Tusijilinganishe na Kenya, wakati wa season celebrities wengi duniani wanaenda kupumzika kule, hawatangazi Kwan wao ni kawaida. Wale matajiri wote wana lodges zao pwani yote ya Kenya na mbugani pia. Mgeni mmoja tu tunapiga kelele
Unajua tz pato lake la taifa inategemea asilimia ngapi kupitia sector ya utalii??unajua ujio kama wa oprah unaitangaza nchi kwa kiasi gani duniani?
Serengeti, the countrys second largest National Park, ????????
nazan ruhaa ndio kubwa kuliko zote tz, na ndio ya pili africa
Nilikuwa ninamkubali sana huyu mama kama mwanamke mpiganaji
nilishtuka tu niliposikia katabia kake ikabidi niachane naye.
I was following your arguments and all of a sudden I got lost somewhere somehow!!!! Bill Gates, Barack Obama and Oprah only those three. Kufunga barabara kuna uhusiano gani sijaelewa na hiiNani amekwambia mgeni moja. OW sio mgeni moja hilo alifu then kama una kumbukumbu kama mimi Bill Gates kila mwaka anatua Bongo .... .... .... BO pamoja na GB. Chacha njomba unachema ngeni moja wakati barabara zinafungwa are you serious? Wacha wabongo wasema wanachotaka kusema maana hili ndilo jukwaa lao au unataka wakuache useme peke yako?
BTW Manyang'au hawana sababu ya kuja kuandika JF si waandike kwenye blog zao?
I was following your arguments and all of a sudden I got lost somewhere somehow!!!! Bill Gates, Barack Obama and Oprah only those three. Kufunga barabara kuna uhusiano gani sijaelewa na hii