Msikilize Oprah halafu ndo u comment.
Wengine hatutaki kuoa precisely because wadada wazuri hawajaisha.
Unajua mnapokuwa vijana mnajifariji sana na maneno ya mitandaoni na kampani mlizonazo. Fainali above 45 ambapo wenzako wanapata faraja na ukaribu wa mume na watoto na we uko peke yako. Utalea sana watoto wa ndugu wakikua wanasepa. Utalea sana yatima, wakikua wanaondoka. Utahudhuria kila pub ili upate wa kukupigisha stori mwisho utajikuta kila siku uko peke yako. Utageukia dini na kuzijua ratiba za makanisa yoote mpaka utaingia na yale yanayomwabudu shetani. Na baadaye utarudi kwenye serengeti boys! Huku sasa ndo utakuwa umeelekea mwisho. Lakini yote ni sababu ya jeuri na kujifanya uko dedicated!
IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Anyway nilikuwa na peruz na kudadisi mablog mbali mbali nikakutana na Bi mkubwa Oprah akifunguka juu ya ku consider marriage baada ya kuhudhuria harusi ya Bibi Tina Turnner na uwezekano ku die a NEVER MARRIED WOMAN! Check out what she said!
When asked if she would leave earth as a never-married woman, Oprah made her feelings very clear. Yes, she told Access Hollywood. Yeah, I think thats my final answer.
I think that its interesting that you would ask it because I thought about it again at Tina Turners wedding. Because Tina was like, Oprah, you need to do this. You need to do it. I was just thinking, Well, OK, would things really be different? And no, I dont think so. If you ever interviewed him (Stedman), he would tell you that had we married, we would not be together today, because hes a traditional man and this is a very untraditional relationship.Oprah also explained that she couldnt be a wife because the word holds responsibilities she doesnt feel capable of handling.
Sasa huyu bibie ni MTU MWENYE UPEO MKUBWA SANAAA! So ntu wa caliber yake kuyasema maneno haya ilinipa challange kidogo. She could buy or impress any man to marry her but SHE TAKES MARRIAGE SERIOUSLY!
Nilijaribu kuangalia Marriage kwa perspective yake na kweli ni mwendo wa COMMITMENT, SACRIFICE, COMPROMISING, DEDICATION, TRUST, ETC vitu ambavo wasichana wengi wa siku hizi tunavichukulia wepesi wepesi tu baadae vinakuelemea!
Na hata kama umeolewa JE UNALITENDEA NENO WIFE HAKI?????????? Au ndo wife ushahidi? Either way its never too late to change! DO YOUR HUSBANDS PROUD LADIES!!!!!!!
kuna watu walisema mother teresa ni 'selfish'. i think we need to define 'selfish'.Oprah anaweza kuwa 'selfish' vilevile
hakutaka ku 'sacrifice' kwa mtu yeyote
kwake yeye its all about her
self centered and selfish woman...
kuna watu walisema mother teresa ni 'selfish'. i think we need to define 'selfish'.
And knowing Oprah unaweza kukuta
she has regrets but she can't say it...
Hahahahaaaaaaaaaa! What regrets? She still have ample time to change her decision! I bet you the world she wont! Oprah cant just tolerate LYING TO HERSELF!!!!!!!!!
Anae bwana kwa miaka mingi tu ila hajaolewa. Technically ni kama ameolewa ama ni kimada. Anachokiogopa huyu Opra ni yale yaliomtokea JLo. Hataki aje aachane na mume halafu aishie kumtajirisha mtu
Unajua mnapokuwa vijana mnajifariji sana na maneno ya mitandaoni na kampani mlizonazo. Fainali above 45 ambapo wenzako wanapata faraja na ukaribu wa mume na watoto na we uko peke yako. Utalea sana watoto wa ndugu wakikua wanasepa. Utalea sana yatima, wakikua wanaondoka. Utahudhuria kila pub ili upate wa kukupigisha stori mwisho utajikuta kila siku uko peke yako. Utageukia dini na kuzijua ratiba za makanisa yoote mpaka utaingia na yale yanayomwabudu shetani. Na baadaye utarudi kwenye serengeti boys! Huku sasa ndo utakuwa umeelekea mwisho. Lakini yote ni sababu ya jeuri na kujifanya uko dedicated!
Mke mwema hutoka kwa Bwana.
Naye ataijenga nyumba yake mwenyewe. Atamheshimu na kumtii mume wake.
Mke -------- huibomoa nyumba yake mwenyewe.
Amina.
Weekend njema wanaume wenzangu tuliooa wake wema.
Kabla hujapayuka embu mgoogle Oprah kwanza upate habari kamili!
Oprah atawadanganya wengi mno
deep down anazo regrets....
ni kwamba now its too late....
pesa zoote zile zitaishia charity tu
nafikiri kuwa wife na kuwa mother ni vitu ambavyo kila mwanamke
anapenda experience.....hata kama kuna dirvoce huko mbele,au watoto kuwa hasara tupu
Technically kashaolewa. Ila anakwepa baadhi ya majukumu.Kama kweli angekuwa anapinga kuolewa basi asiwe na mtu kabisaaaa
Kwahio hutaoa kwa sababu huwezi kumudu responsibilities za ndoa!? thats what oprah think
Oprah anaweza kuwa 'selfish' vilevile
hakutaka ku 'sacrifice' kwa mtu yeyote
kwake yeye its all about her
self centered and selfish woman...
Msikilize Oprah halafu ndo u comment.
Wengine hatutaki kuoa precisely because wadada wazuri hawajaisha.