Kwelii kila mtu atakula kwa urefu wa kamba yake.
YAani huyu jamaa alivyokuwa anatoka nilimheshimu na nilikuwa namkubali saanaa.
Heshima yangu ilianza kupotea kwake baada kuanza kutumika na serikali ili kumpunguza makali.
SAsa amejidharaulisha wazi kwa jamii kwa kujionyesha mchumia tumbo, mwanzo alikuwa kwa sitta, baadae kuona sitta katiba mpya imemkaanga akahamia kwa membe, sasa ameona upepo wote umehamia kwa lowassa ameamua kuhamia huko huko.
Niliona video ya maneno yale yale aliyoyaongea kwa sitta ndio hayo hayo kayarudia kwa mhe lowassa, jiandae for your downfallcoz wananchi washakudharau na huaminiki tena.