OPINION POLLING - kina synovate mko wapi enzi hizi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

OPINION POLLING - kina synovate mko wapi enzi hizi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by DoubleOSeven, Jul 19, 2011.

 1. D

  DoubleOSeven JF-Expert Member

  #1
  Jul 19, 2011
  Joined: Jul 5, 2008
  Messages: 661
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Pollsters kama kina REDET na wapishi wengine tuliowazoea 2010 mko wapi siku hizi? Kwa wenzenu mlikojifunzia taalauma (?) yenu hufanyika Opinion Polls mara kwa mara kutoa tathmini mbalimbali, mojawapo ikiwa ni PERFORMANCE na APPROVAL rating. Hivi hapa Bongo hilo mmelisahau hilo au shughuli yenu ni nyakati za uchaguzi pekee, yaani (teh teh teh ) upishi wa zile namba zenu tunazoona?
   
Loading...