unaweza kutufahamisha....ng'ombe mwenye bei ni yupi.....?
Acha kunifurahisha, yaani umeuliza swali ambalo jibu liko wazi kabisa. NG'OMBE MWENYE BEI SOKONI NI BABA YAO(CCM).
.
Ama kweli CHADEMA NI SAWA NA NG'OMBE ASIYE NA BEI SOKONI".
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
Achana nae huyo kibaraka!!!!
Acha kunifurahisha, yaani umeuliza swali ambalo jibu liko wazi kabisa. NG'OMBE MWENYE BEI SOKONI NI BABA YAO(CCM).
.
Ama kweli CHADEMA NI SAWA NA NG'OMBE ASIYE NA BEI SOKONI".
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
nimefurahi kusikia hivyo....hivi ni soko gani vile....nataka nikamnunue......
Kumbe ni Arusha.!!!!!!!. Sasa oparesheni gani hiyo, nijuavyo kanda ya kaskazini ni chadema wengi, sasa hii operesheni inakuwaje tena?
.
"Ama kweli CHADEMA NI SAWA NA NG'OMBE ASIYE NA BEI SOKONI".
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
Hii imetulia kweli haya ndo kina REJAO wanayasifia acha waendelee time will tell
Ni kesho jumamosi tar 5-may-12....viwanja vya NMC (Tahrir Squire)...Arusha, kuanzia saa saba mchana....
ukisoma tangazo hili....mjulishe na mwenzio....
M4C....daima....
Soko ambalo Ccm ina bei ni kwa wananchi wote wanaopenda nchi yao na ambao hawana akili za kufuata upepo wa uanaharakati usio uanaharakati. Kwa kifupi ni kwamba Ccm ina soko kwa wapenda maendeleo wote wa nchi yetu nzuri ya Tanzania.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
tumeshakodisha magari 4 toka Monduli...Watu huku wapo radhi watembee hadi A town...we wacha bana..ile kibao ya peoples Power Tanzania wamasai wanaipenda sna..wanavyoiimba ...utacheka ufeee..ila bado ni furaha
Masikini wa kutupwa na walalahoi wote wanaoishi chini ya dola moja kwa siku ndiyo chakula kikuu cha CCM. Mungu na ailipe CCM sawa sawa na matendo yao maovu kama nini!!!
aliyetumia nguzo ya moto na wingu kutuongoza kutoka Misri......na kutufikisha Kanaan.....