Operesheni UTALII yahitajika

Jackbauer

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
6,038
2,199
Ndugu wana jf ,kila mtu atakubaliana nami kuwa kuna umuhimu wa kuanzisha operesheni 'utalii' kama ilivyokuwa operesheni sangara.nasema hivi kwa sababu mikoa muhimu ya kiutalii mfano Arusha na Moshi imeonyesha muamko na uelewa mkubwa katika kuondoa uozo katika maeneo yaani local councils na uwakilishi bungeni.kumbuka haya yametokea bila kuwa na jitahada makhsusi za chadema katika eneo hili.Hivyo kiushauri chadema inahitaji ku-secure eneo hili kwa nguvu zote.CHADEMA IMEWASHIWA TAA YA KIJANI KUELEKEA NOTHERN CIRCUIT OF TOURISM.naomba kuwasilisha
 
Wanachotakiwa kufanya Chadema ni kukijenga chama kwa nguvu zote kuanzia vijijini (vyote katika Tanzania) - na zoezi hilo liendelee kwa kasi ili lizae matunda 2015.
 
Back
Top Bottom