Operesheni UKUTA njia ya kumpeleka Magufuli ICC

Very timely arranged....! Kinachotokea ni kumchosha na kumuanika jamaa udhaifu wake na watendaji wake....ni mbinu za kisiasa kupima weledi wake na hekima yake...hili wengi hawajaligundua
Mwisho akifanikiwa kutoharibu atakuwa amechoka mno...angalia sasa operation UKUTA imemlazimisha naye aanze kuzunguka mikoani kama kipindi cha kampeni wakati huku kuna majukumu ya urais yanamsubiri
Haya mambo ya kisiasa angekiachia chama chini ya katibu mkuu . katibu mwenezi na viongozi wengine waifanye ili binafsi apate wasaa mzuri wa kushughulika na ya kitaifa
Wenzake wana majukumu ya kichama tu anataka kushindana nao....ikifika 2018 kwa mwendo huu atakuwa hoi mno na hiki ndio upinzani wanachotafuta
Ukitaka kumshinda mpinzani wako mchoshe mwili na akili
Very good point. Ila sasa inarudi ile ile hoja ya kuwa yeye ni Mwenyekiti wa Chama na hataki kuona Chama kina fail mikononi mwake.

Kwa maoni yangu Raisi asiwe Mwenyekiti wa chama awe member tu wa Kawaida mwenye special privileges ili awe na wasaa mzuri wa kufanya shughuli za Kimaendeleo kwa Raia wake.
 
Watakao kufa ICC itawarudishia uhai. Kafanye kazi siasa zisizo na mashiko zimepitwa na wakati.

Unafeli,siasa gani zisizo na mashiko?
Vyama kufanya mikutano na wananchi kuelezea sera zao na kuwaonesha fikra mbadala?

Yaani unaua watu sababu wamekusanyika kuongelea fikra mbadala bila kuvunja sheria?Mnaogopa nini kwani?Shida ni nini?

Mikutano ya siasa inafanyika baada ya muda wa kazi za kiofisi,hakuna muingiliano...Shida ya kuogopa hivi ni nini hasa?

Bila upinzani imara nchi itayumba,hii si rocket science!
 
Chadema punguzeni kuwaweka wananchi roho juu, mnashindwa kusubiri ndani hata ya mwaka mmoja na nusu ili mlete hoja za msingi kwamba Rais ameweza au ameshindwa kwa kiasi gani kutimiza ahadi!! Sasa hilo li UKUTA bora hata lingekuwa na manufaa kwa maendeleo!!

Mnaogopa nini kwa hii mikutano?

Kama mnatimiza wajibu wenu kisawasawa,na mikutano inafanyika bila lugha za chuki au disrespect kwa serikali au uvunjaji wa sheria yoyote ya nchi,kuna shida gani wasifanye?

Mnaogopa nini?It doesnt make any sense...Na hoja ya kufanya kazi ni mufilisi,kazi za rais ni kutawala nchi kidemokrasia,na kazi za vyama vya siasa ni kufanya siasa bila kuvunja sheria,tatizo linaanzia wapi?

Mikutano ya vyama vya siasa ina uhusiano gani na utendaji kazi wa rais kuiongoza nchi kidemokrasia?

Kuna nini cha kuficha?
 
Mambo yanafanyika wasiokuwa na uwezo wa kufikiri wanashangiria, siku ikizuiliwa hata mikusanyiko ya kuabudu ndo mtajua kuwa demokrasia iko mfukoni mwa mtu mmoja!
 
Very good point. Ila sasa inarudi ile ile hoja ya kuwa yeye ni Mwenyekiti wa Chama na hataki kuona Chama kina fail mikononi mwake.

Kwa maoni yangu Raisi asiwe Mwenyekiti wa chama awe member tu wa Kawaida mwenye special privileges ili awe na wasaa mzuri wa kufanya shughuli za Kimaendeleo kwa Raia wake.

Mkuu upo sahihi kabisa...kazi ya rais ni kuongoza kuleta maendeleo nchini mwake,hizi siasa awaachie chama chake watazifanya vizuri sana kupambana na ukawa...

Yaani shida hapa wa sio ukawa,kuna tatizo na taasisi ya urais,kuna tatizo mkuu,wajiangalie deeply waangalie priority yao ni nini kama ni siasa au maendeleo

Nadhani ccm inatosha kwenda head to head with ukawa na ndio inavyotakiwa,rais is too big and important to deal with these petty things bwana...Akifanya hivyo atafeli,atachoka,then whooola 2020 hii hapa,utashangaa hana milestone...Halafu sijui anaiamini vipi innercircle yake,inaweza change nae akaona nyota bro.
 
Mwenye macho haambiwi tizama ila huangalia mwenyewe na kuona kinacho tokea. Operesheni UKUTA imeratibiwa maalumu kwa kumuweka Magufuli kwenye mtego wa kwenda ICC na wananchi kumchukia kwa mkono uliojaa damu za ndugu zao. Ikiwa hakuna sheria inayozuwia mikutano ya siasa kufanya mikutano isipokuwa kauli ya raisi na polisi tu. Leo ikitokea kufanyika mikutano na polisi kuuwa wananchi wasio na hatia Vyama vya Upinzani na kufungua kesi Mahakama ya Afrika Mashariki na ICC serikali itajitetea kwa kutumia kipengele kipi cha katiba na sheria?
Dua la Kuku ..................
 
Nimwaamini sana viongozi wa cdm kwa kuja na hii UKUTA sasa hivi serikali hawalali na masikini ndugu zetu polisi ndio wakati wao mgumu zaidu kuweza kutokea
 
Mwenye macho haambiwi tizama ila huangalia mwenyewe na kuona kinacho tokea. Operesheni UKUTA imeratibiwa maalumu kwa kumuweka Magufuli kwenye mtego wa kwenda ICC na wananchi kumchukia kwa mkono uliojaa damu za ndugu zao. Ikiwa hakuna sheria inayozuwia mikutano ya siasa kufanya mikutano isipokuwa kauli ya raisi na polisi tu. Leo ikitokea kufanyika mikutano na polisi kuuwa wananchi wasio na hatia Vyama vya Upinzani na kufungua kesi Mahakama ya Afrika Mashariki na ICC serikali itajitetea kwa kutumia kipengele kipi cha katiba na sheria?
Hakuna mpuuzi yeyote atakaeandamana
Labda hao wakina lowasa na mbowe
Maana sisi wanachadema wa ngazi za chini hatuoni sababu ya maandamano hayo
Kupinga kile ambacho hao hao wakina mbowe walikilalamikia kuwa hakifanyiki kwa miaka mingi
Leo kinafanyika
hao hao wanakipnga
huo ni ulofa na upumbavu
 
Domino effect ya confrontation iwapo nguvu itatumika ni mbaya sana.
Yaliyotokea Pemba mwaka 2001 yalimuweka BWM katika hali ngumu sana na Taifa lilitumia nguvu nyingi kurudisha image yake katika hali ya kawaida. Tuwe makini
Kwanini tusianze na hao wanaoleteleze kuchafuka kwa image?
Solution ni kuwaacha wafanye walitakalo?

Upuuzi
 
Mwenye macho haambiwi tizama ila huangalia mwenyewe na kuona kinacho tokea. Operesheni UKUTA imeratibiwa maalumu kwa kumuweka Magufuli kwenye mtego wa kwenda ICC na wananchi kumchukia kwa mkono uliojaa damu za ndugu zao. Ikiwa hakuna sheria inayozuwia mikutano ya siasa kufanya mikutano isipokuwa kauli ya raisi na polisi tu. Leo ikitokea kufanyika mikutano na polisi kuuwa wananchi wasio na hatia Vyama vya Upinzani na kufungua kesi Mahakama ya Afrika Mashariki na ICC serikali itajitetea kwa kutumia kipengele kipi cha katiba na sheria?
ok, kwa hiyo wanataka tena kutumia damu za watu kupata mtaji wa kisiasa??!!! kweli mwenye macho haambiwi tazama, na wajinga ndio waliwao
 
Back
Top Bottom