Operesheni UKUTA njia ya kumpeleka Magufuli ICC

Mkuu upo sahihi kabisa...kazi ya rais ni kuongoza kuleta maendeleo nchini mwake,hizi siasa awaachie chama chake watazifanya vizuri sana kupambana na ukawa...

Yaani shida hapa wa sio ukawa,kuna tatizo na taasisi ya urais,kuna tatizo mkuu,wajiangalie deeply waangalie priority yao ni nini kama ni siasa au maendeleo

Nadhani ccm inatosha kwenda head to head with ukawa na ndio inavyotakiwa,rais is too big and important to deal with these petty things bwana...Akifanya hivyo atafeli,atachoka,then whooola 2020 hii hapa,utashangaa hana milestone...Halafu sijui anaiamini vipi innercircle yake,inaweza change nae akaona nyota bro.
Tatizo lingine ambalo naliona linajirudia rudia sana ni suala la kukanusha uzushi wa habari zinazotolewa kwenye mitandao ya kijamii.

Govt naona kama vile haijajiamini kama iko kwenye hatamu.

Leo nikiandika uzushi wowote , Basi kesho Bwana Msigwa atatoa barua kwa vyombo vya Habari kukanusha uzushi niliotoa, why wanatumia effort kubwa kushindana na Social media wakati kuna changamoto nyingi sana mbele zinahitaji nguvu pesa na weledi wao??

As you said wanatakiwa wakae chini waache siasa watatue shida zetu.
 
Kwani lengo ni Kumpeleka Magufuli ICC au lengo ni kuhakikisha wananchi wanapata maendeleo? hapo ndipo ujinga wa Chadema unapokua dhahiri.

Lengo la Mikutano na maandamano sio kumpeleka Magufuli ICC ila kwa wanaofikiri zaidi ya ulipo kwamia wanafikiri 'MATOKEO' ya hayo maandamano na mikutano ambayo yapo kisheria endapo Mtukufu sana atatembea kwa vitendo ktk kauli yake akiwa huko Singida..
 
Kabla ya kucommet unatakiwa ufanye research kwanza jiulize marekani mwanachama wa icc?

Kwani Sudani ni mwanachama? Wewe umeshafanya hiyo research kwamba kwanini Bashir wa Sudani, anatafutwa wakati siyo mwanachama wa ICC? Tanzania ina traitors wengi sana.

Weusi wanaouliwa amerika mbona sijaona Muamerika anataka Obama aende ICC?

Yani mnatengeneza kitu kwa makusudi ili iwe nini, hata chief Magungo was a better man kuliko hiki kikundi chenye mawazo ya namna hii. Traitors
 
Wakati Magufuli anaenda ICC,
Wewe Utakuwa KABURINI Muda huo.
MBOWE,LOWASSA NA FAMILIA ZAO WATAKUWA WAMEENDA IBIZA KULA BADA KABLA KUTIMKIA KWENYE NYUMBA ZAO HUKO DUBAI.[/100]

Unafikiri kwa wewe kuwa hai ni wangapi walishatangulia mbele ya haki na wewe ukazaliwa ?.
 
zuio likishatoka,maana yake umefanya kinyume na tamko halali la serikali,hapo ICC itamuhusu pia

Sio kila zuio ni halali ,yapo baadhi ya mazuio hayana sababu za Msingi ...Vivyo hivyo ktk Sheria zipo zilizotungwa kwa nia mbaya za watu au kundi flani kwa manufaa yao...
 
Unafikiri kwa wewe kuwa hai ni wangapi walishatangulia mbele ya haki na wewe ukazaliwa ?.
AU wameshakataa sitting president kwenda ICC, traitors at best.

Kwanza mkifanya hivyo ndo mawazo yenu mnapoteza zaidi. Na uchaguzi unafutwa inakuwa kukabidhiana madaraka. Wameshindwa kumpeleka Kiir ama Machari ama Nkurunziza ndiyo vimaandamano vyenu mnamfikiria ICC, mmepoteza mtapigwa bure.
 
zuio likishatoka,maana yake umefanya kinyume na tamko halali la serikali,hapo ICC itamuhusu pia

Zuio la shughuli ambazo zimehalalishwa na Katiba yetu linaweza kuwa halali? Kwani "Social contract" na watawala wetu ni matamko yao, au Katiba ya nchi??? Go back to your social study classes, naona hukuiva vizuri!
 
ok, kwa hiyo wanataka tena kutumia damu za watu kupata mtaji wa kisiasa??!!! kweli mwenye macho haambiwi tazama, na wajinga ndio waliwao

Chadema watafanya Mikutano na maandamano kwa mujibu Sheria za Nchi na hawajajitungia wao huo utaratibu ,damu atamwaga huyo Mtukufu sana kama atayaagiza majeshi yake kuingilia haki za wengine..
 
AU wameshakataa sitting president kwenda ICC, traitors at best.

Kwanza mkifanya hivyo ndo mawazo yenu mnapoteza zaidi. Na uchaguzi unafutwa inakuwa kukabidhiana madaraka. Wameshindwa kumpeleka Kiir ama Machari ama Nkurunziza ndiyo vimaandamano vyenu mnamfikiria ICC, mmepoteza mtapigwa bure.

Nchi iongozwe kwa mujibu wa Katiba na sio kwa utashi wa mtu mmoja ,waliotunga Katiba waliyaona haya ..Ni muhimu na jambo jema kuheshimu haki za wengine bila ya kujali hadhi zao.
 
Nchi iongozwe kwa mujibu wa Katiba na sio kwa utashi wa mtu mmoja ,waliotunga Katiba waliyaona haya ..Ni muhimu na jambo jema kuheshimu haki za wengine bila ya kujali hadhi zao.

Mda wote nchi Inaongozwa kwa katiba, yote yanayofanyika yapo ndani ya katiba. Orodhesha kitu ambacho kimefanyika hakimo ndani ya katiba, tujadili maada kikatiba badala ya maneno ya wanasiasa walioshindwa.
 
Slogan ya Chadema ni maandamano kwanza ,maendeleo baadae.

Kwa huu upuuzi watu Wenye akili hawatabaki Chadema
nimegundua ya kwamba,watu wa dizaini hii ya kusifia kila kitu ni watu watupu vichwani na wanaojifanya kujua kilaaaaaa kitu.
kazi yao kubwa ni kushinda mtandaoni,na kusubiri nani kapost nini cha chadema.Jinga kabisa
 
Very timely arranged....! Kinachotokea ni kumchosha na kumuanika jamaa udhaifu wake na watendaji wake....ni mbinu za kisiasa kupima weledi wake na hekima yake...hili wengi hawajaligundua
Mwisho akifanikiwa kutoharibu atakuwa amechoka mno...angalia sasa operation UKUTA imemlazimisha naye aanze kuzunguka mikoani kama kipindi cha kampeni wakati huku kuna majukumu ya urais yanamsubiri
Haya mambo ya kisiasa angekiachia chama chini ya katibu mkuu . katibu mwenezi na viongozi wengine waifanye ili binafsi apate wasaa mzuri wa kushughulika na ya kitaifa
Wenzake wana majukumu ya kichama tu anataka kushindana nao....ikifika 2018 kwa mwendo huu atakuwa hoi mno na hiki ndio upinzani wanachotafuta
Ukitaka kumshinda mpinzani wako mchoshe mwili na akili

100%
 
Mwenye macho haambiwi tizama ila huangalia mwenyewe na kuona kinacho tokea. Operesheni UKUTA imeratibiwa maalumu kwa kumuweka Magufuli kwenye mtego wa kwenda ICC na wananchi kumchukia kwa mkono uliojaa damu za ndugu zao. Ikiwa hakuna sheria inayozuwia mikutano ya siasa kufanya mikutano isipokuwa kauli ya raisi na polisi tu. Leo ikitokea kufanyika mikutano na polisi kuuwa wananchi wasio na hatia Vyama vya Upinzani na kufungua kesi Mahakama ya Afrika Mashariki na ICC serikali itajitetea kwa kutumia kipengele kipi cha katiba na sheria?
Hamna MTZ atakaye jitokeza ktk maandamano haya ya kipuuzi
Watz wamegundua kuwa CHADEMA sasa inatufanya kama KONDOM tu ukitumia unaona hata kinyaa kuishika
Kwenye kuteuana huwa wanakaa Mbowe,Lissu na Msigwa na kauli zao huwa za mwisho
Walipuuza sana kauli zetu tulipolalamikia kuhusu kuondolewa kwa Dr Slaa na wabunge viti maalum
Kazi yetu wanachama ni maadamano tu
HAMNA ATAKEYE ANDAMANA,WAANDAMANE WENYEWE WANAOFAIDIKA NA CHAMA
 
Back
Top Bottom