Operesheni Sangara yaingia Lushoto; kwa Makamba

Regia Mtema

R I P
Nov 21, 2009
2,970
864
Wana JF
Kwa habari nilizozipata hivi punde ni kuwa Operesheni Sangara ya CHADEMA iko Lushoto tangu jana na Dk Slaa atakuwa katika kata kadhaa za wilya ya Lushoto ikiwemo katika kijiji cha Makamba Tamota.Kwa ninavyowajua hawa wawili wote wakiwa ni Makatibu wakuu wa vyama vikubwa nchini.I can imagine Slaa atakavyomshughulikia Makamba.I wish kama ningekuwepo kwenye mkutano huo nimsiklize Live Dk Slaa.Ni mchana huu atakuwa kijijini hapo.Tusubiri tupate yatakayojiri huko,nitawahabarisha.
 
Slaa ni ngoma ndogo sana kwa Makamba...

Kibunango,acha kujifariji.Huwezi kumlinganisha Dk Slaa na Makamba,kila mtu nafahamu hata mtoto wa miaka kumi na tano ukimuuliza Slaa na Makamba nani zaidi atakwambia Slaa ni zaidi hilo halina ubishi.Ila kama utawapambanisha kwa kuropoka basi Slaa ni ngoma ndogo kwa Makamba.Lakini kwa hoja,uwezo kiakili,uelewa na hata kukuibalika Slaa yuko juu.
 
Wana JF
Kwa habari nilizozipata hivi punde ni kuwa Operesheni Sangara ya CHADEMA iko Lushoto tangu jana na Dk Slaa atakuwa katika kata kadhaa za wilya ya Lushoto ikiwemo katika kijiji cha Makamba Tamota.Kwa ninavyowajua hawa wawili wote wakiwa ni Makatibu wakuu wa vyama vikubwa nchini.I can imagine Slaa atakavyomshughulikia Makamba.I wish kama ningekuwepo kwenye mkutano huo nimsiklize Live Dk Slaa.Ni mchana huu atakuwa kijijini hapo.Tusubiri tupate yatakayojiri huko,nitawahabarisha.

Sioni kama Slaa atakuwa na jipya la kuwaeleza wana Tanga.
 
Daa i wish kama mkuatano huu ungekuwa unarushwa live kwenye luninga ili nione Makamba anavyoshughulikiwa.
 
Habari nilizozipata ni kuwa Abdallah Kigoda maelalamika sana baada ya Sangara kuingia jimboni kwake.Alikuwa akihaha na kupita pita na gari yake na kuwatuma vijana wake kufuatilia misafara ya CHADEMA kila walipokuwepo. Asiee CHADEMA ni kiboko
 
Kwa kifupi Kibunango anapotea bure ama anabisha akijua ukweli ulivyo . Slaa si zaidi ya Makamba pekee kwa kila kitu bali ni zaidi ya Rais na washauri wake wote akiwemo Sitta nk .
 
Habari nilizozipata ni kuwa Abdallah Kigoda maelalamika sana baada ya Sangara kuingia jimboni kwake.Alikuwa akihaha na kupita pita na gari yake na kuwatuma vijana wake kufuatilia misafara ya CHADEMA kila walipokuwepo. Asiee CHADEMA ni kiboko

Kuhaha lzima ahahe.CHADEMA sio mchezo bwana.Hawa jamaa wanajua wanachi wa miaka hii sio wa kale.CCM imehodhi majimbo mengi kwakuwa upinzani haukufanya kazi ya kutosha.Ndo maana mimi naishangilaia sana Opereshsni Sangara kwani wanachi wanafikiwa na kupewa ABCs za CHADEMA
 
Watu wasio ijua Chadema na wasio mjua Slaa jukwaani na Zitto na Mbowe basi wafike Tarime waulize . Chadema did wonders maana Serikali si siri ilishiriki kiais kikubwa kuvuruga uchaguzi kwa kila ya aina mkakati mchafu lakini maneno ya jukwaani hoja nzito za Chadema zilipelekea wana Tarime kulinda kura zao . Leo Kibunango yuko Ulaya atabwabwaja lakini lakini he cannot feel te heat . Awaulize wanao pitiwa na Upepo wa Chadema . Wanajua for sure what Chadema can do
 
Habari nilizozipata ni kuwa Abdallah Kigoda maelalamika sana baada ya Sangara kuingia jimboni kwake.Alikuwa akihaha na kupita pita na gari yake na kuwatuma vijana wake kufuatilia misafara ya CHADEMA kila walipokuwepo. Asiee CHADEMA ni kiboko
Sasa anaogopa nini wakati yeye yuko nambari One!
 
Najitahidi kufuatilia taarifa ili nijue nini kimejiri huko,nawatafuta vyanzo vyangu vya habari wote hawapatikani nadhani mtandao wa Tigo huko si wa kuutumainia sana.Nasikitika sana lakini nikipata tu taarifa nitazirusha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom