OPERESHENI ondoa WABUNGE... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

OPERESHENI ondoa WABUNGE...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by VUTA-NKUVUTE, Jul 21, 2012.

 1. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #1
  Jul 21, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,869
  Likes Received: 6,608
  Trophy Points: 280
  YAH: KUISHI MLIKOCHAGULIWA Waheshimiwa Wabunge wote,husikeni na kichwa cha habari cha hapo juu. Imekuwa desturi ya wengi wenu kuishi nje ya Majimbo yenu. Hii hurudisha nyuma harakati zenu za kuleta maendeleo katika majimbo yenu. Jambo hili si jema. Kuanzia sasa,kila mmoja wenu arudi kuishi jimboni kwake kama yuko nje na alikochaguliwa. Mna miezi mitatu kutekeleza agizo hili. Imeamriwa hivyo. Usalama wa Wote
   
Loading...