Operesheni mulika, toa, tupa nje | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Operesheni mulika, toa, tupa nje

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Jasho la Damu, Jul 19, 2011.

 1. J

  Jasho la Damu JF-Expert Member

  #1
  Jul 19, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 958
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Wasalaam Wanajf
  Kwa kuwa JF sasa imekuwa ndio Taa huru pekee ya kumulika viongozi wa serikali na kijamii ndani na nje ya mipaka ya taifa la Tanzania.
  Napenda Kuchukua fursa hii kukaribisha maoni na habari zinazohusu utendaji kazi wa serikali za mitaa na halmashauri za wilaya hasa ukizingatia kuna madudu mengi yanayofanyika katika halmashauri zetu za wilaya nasi tumekuwa tukiyafumbia macho na kudeal na Serikali kuu tu turudi pia kwenye halmashauri zetu. natumai kupata positive co-operation kutoka kwenu.
   
 2. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #2
  Jul 19, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  wewe ni nani mpaka unataka haya??
   
 3. J

  Jasho la Damu JF-Expert Member

  #3
  Jul 19, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 958
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  mimi mmasai kama alivyo lowasa na wamasai wengine.
   
 4. J

  Jasho la Damu JF-Expert Member

  #4
  Jul 19, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 958
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Nimeshawai kukutana na Mtumishi wa Halmashauri ya wilaya ya Ngorongoro nilipokwenda kunywa kikombe cha dawa ya Babu ilinibidi nitokwe na machozi maana sikutarajia kama atakuwa amebadilika kwa kuchakaa sana ili hali kabla ya kupata kazi alikuwa kibonge na nadhifu sana. Aliniambia tatizo kubwa ni Viongozi anaofanya nao kazi katika halmashauri hiyo huwa wanajiangalia wenyewe na matumbo yao tu.
   
 5. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #5
  Jul 19, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,036
  Likes Received: 3,067
  Trophy Points: 280
  Serikali za mitaa ni sehemu ya serikali,ni mtumwa wa serikali kuu na inawajibika kwa serikali kuu,sasa tusideal sana na serikali za mitaa cha msingi tudeal na malords wao huko juu,haiwezekana chini pakawa safi kama juu pana longolongo lakini inawezekana chini pakawa safi kama juu pako safi,as the matter of fact local authorities in Tz reflect its boss which is "legelego"
   
 6. J

  Jasho la Damu JF-Expert Member

  #6
  Jul 19, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 958
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Ni kweli mkuu lkn kwa wakati huu tunapambana Serikali kuu tunaacha mamilioni ya fedha yanaliwa na halmas
   
 7. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #7
  Jul 19, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,036
  Likes Received: 3,067
  Trophy Points: 280
  I got you right!hapa kuna mambo mawili kiongozi,kwa halmashauri zilizochini ya upinzani hili linawezekana kabisa maana katika vikao vyao watabanana mpaka kieleweke eg.Mwanza,Arusha,Mbeya n.k,tunaweza kurekebisha mambo kwa kumbana DED na wakuu wa Idara mpaka kila senti ikahesabika imefanya nini,kama ni mapato,matumizi vikajulikana kwa wananchi alafu tukapata kujua pesa ya miradi toka hazina inatumika na nini kinakuwa 'outputs'

  Ishu inakuwa ngumu kwenye H'shauli ambazo hazina upinzani (madiwani) ama ni hafifu,hapa bado DED na wenzake wakuu wa Idara wanatafuna si mchezo,miradi haiishi,haina viwango na pesa haionekani eg.Morogoro,Tabora,Dodoma n.k,sehemu kama hizi ndo zinasubiri push kutoka juu vinginevyo malpractices ni nyingi mno ama hadi pale wapinzani watakapokuwa wameweza kutake over kwenye sehemu hizo
   
 8. FarLeftist

  FarLeftist JF-Expert Member

  #8
  Jul 19, 2011
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 362
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  mulika mwizi
   
 9. Pukudu

  Pukudu JF-Expert Member

  #9
  Jul 19, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 2,970
  Likes Received: 735
  Trophy Points: 280
  Mi mmasai bana, nasema mi mmsaiTamaduni yenye nguvu iliyobaki Afrika.Lowassa bana si mmasai ni mmeru ambaye jamii yake ilihamia monduli siku nyingi, pamoja kukulia ktk tamaduni za kimasai Lowassa bado ni OLMEKIII au chasaka ka wachaga wanavyosema
   
 10. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #10
  Jul 19, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,519
  Likes Received: 1,690
  Trophy Points: 280
  Thread haina tija
   
 11. J

  Jasho la Damu JF-Expert Member

  #11
  Jul 19, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 958
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Rweye nimekupata bro na hicho ndo haswa ninachomaanisha naamini hapa JF kuna watumishi wengi sana kutoka katika halmashauri zetu na wanashuhudia hayo madudu naamini wangeyaweka wazi hapa Jf nchi ingesafishika.
   
 12. J

  Jasho la Damu JF-Expert Member

  #12
  Jul 19, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 958
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Ha ha haa ila OLMEKII mwenyewe.
   
 13. J

  Jasho la Damu JF-Expert Member

  #13
  Jul 19, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 958
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Haina tija kwenu ninyi Magamba
   
Loading...