Operesheni kata funua

Imeondoka na kamanda 8 Clock.

Kumbuka operesheni nyingi za CDM hazidumu kwa kuwa zinalenga tukio moja tu. Likipita nazo hufa kifo cha mende.
 
Mara nyingi mikakati yetu inategemea upepo, hivyo kwa wakati huo upepo haukuruhusu.!
 
Mimi nadhani tulimwelewa Mbowe vibaya!

Nadhani Kata Funua ilikuwa ni operesheni ya kusimika kwa nguvu viongozi waaminifu kwa Mbowe kama Mchungaji Msigwa ili wahakikishe anabakia kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa.

Mbowe amewakata na kuwafunua wale wote waliotaka kujenga mtandao wa kumuondoa kwenye kiti chake kwa kutumia viongozi wa Kanda za CHADEMA.

Habari kamili za Kata Funua ya Mbowe anazo Ole Sosopi ambaye kwa sasa ni kambi ya Lowassa!
 
Mimi nadhani tulimwelewa Mbowe vibaya!

Nadhani Kata Funua ilikuwa ni operesheni ya kusimika kwa nguvu viongozi waaminifu kwa Mbowe kama Mchungaji Msigwa ili wahakikishe anabakia kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa.

Mbowe amewakata na kuwafunua wale wote waliotaka kujenga mtandao wa kumuondoa kwenye kiti chake kwa kutumia viongozi wa Kanda za CHADEMA.

Habari kamili za Kata Funua ya Mbowe anazo Ole Sosopi!
Hivi jamaa kawa mwenyekiti wa hicho chama kwa muda gani sasa?

Hawana term limits?
 
Chadema ya kuendesha operesheni ilikuwa ya Dr.Slaa hii ya Lowasa ni mdebwedo.
Dr.Slaa alikuwa anawapeleka kasi Polisi Mwema,Chagonja,Andengenye kamwe hawawezi kumsahau Dr.Slaa. Siku hizi kamishna wa Polisi anapiga marufuku mikutano na maandamano Chadema wanaufyata.
 
Hivi jamaa kawa mwenyekiti wa hicho chama kwa muda gani sasa?

Hawana term limits?
Zamani kulikuwa na term limits wakati chama hakina ruzuku lakini chama kilipopata wabunge wengi/ruzuku ambazo hazina mahesabu, Mbowe akaamua kuondoa term limits.

Tulikuwa tunasikia tu Rais wa nchi fulani ameondoa term limit ili awe Rais wa maisha, kumbe hata vyama vya siasa vinaweza kuondoa term limit na kumfanya mwenyekiti wake kuwa wa maisha!
 
Hivi jamaa kawa mwenyekiti wa hicho chama kwa muda gani sasa?

Hawana term limits?
Term Limit Ilikuwepo Ila Alivyoona Inambana Hakuhitaji Hata Mlolongo Wa Mikutano, Akaindoa

Katiba Ya Chadema Ya Sasa Ukiisoma Na Akili Zako Timamu Unaweza Kutapika
 
Imepita kwenye kanda kadhaa na zimesalia kadhaa , shughuli inaendelea , ile mikutano yote ya ndani uliyoisikia nchi nzima ndio KATA FUNUA YENYEWE .
Unaijua kata funua ianyozungumziwa humu au umedandia treni kwa mbele?
 
Back
Top Bottom