Operesheni 'kata funua' ni ulaji mwingine wa ruzuku. CHADEMA, Mbowe, Lowassa wachunguzwe

Ofisi karibu zote za ccm zilijengwa kwa michango ya wananchi wote wakati huo au raslimali za umma.Ni afisi IPI ya ccm ambayo walitumia mapato yao tu kuijenga?ama kiwanja walitumia mabavu auudaganyifu kukipata.
Angalau wanarkebisha ofisi zao...nafikiri umeona ukumbi wa Dodoma,ofizi za Lumumba nk..nk...jiulize mamilioni ya Mzee Sabodo yameyeyukia wapi?
 
Nchi ina watu wanafiki na wasiofikiri sawasawa. Kwani kazi ya Ruzuku ni nini? Mtoa mada utakuwa na jivu kichwani na si ubongo.
 
Operation ni ya Chadema na kama kuna hela inatumika wewe wivu wa nini? Umejawa hofu tuu kiasi kila ukiamka unawaza Chadema wamekuja na nini kipya.
Huoni Chadema wakivalia njuga jambo ni la nchi sio mambo ya ndani ya Ccm? Hakuna mwenye habari kama watumishi wenu wanakaa miezi minane bila mishahara mpaka wake zao wanajirahisi mitaani, wala hawafatilii viongozi wenu wanapoiba mitambo ya uchapaji na kuuza kama chuma chakavu. Hayatuhusu.
Tunakomalia mnapo kimbiza wawekezaji, ajira, mnapoua kilimo, mikopo ya wanafunzi, madawa hospitalini na kutumbua watumishi kisha kuwarudisha huku mkiwalipa pesa zetu nyingi kwa maamuzi ya hovyo.
KATA FUNUA UTAIONA UCHAGUZI MDOGO UJAO THIS MONTH
 
Back
Top Bottom