CUF Ngangari
JF-Expert Member
- Aug 11, 2011
- 273
- 51
Hii nayo ni thread?tulishuhudia chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA siku si chache walianzisha operation vua gamba vaa gwanda wakizunguuka baadhi ya mikoa lakini sasa kimyaa naw wamekuja na msamiati mpya eti M4C, swali la kujiuliza operation vua gamba vaa gwanda haikudumu muda mrefu, je ilikuwa ni usanii? mchezo wa kuigiza? mnatufanya tuamini maneno ya NAPE kuwa watu hao mliokuwa mnawataja oooh miia mbili mara elfu, mara 5000 kuwa wamejiunga na CDM ilikuwa ni uwongo na kama ilikuwa ni kweli kwanini isiendelee?
Tulishuhudia chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA siku si chache walianzisha operation vua gamba vaa gwanda wakizunguuka baadhi ya mikoa lakini sasa kimyaa naw wamekuja na msamiati mpya eti M4C, swali la kujiuliza operation vua gamba vaa gwanda haikudumu muda mrefu, je ilikuwa ni usanii? mchezo wa kuigiza? mnatufanya tuamini maneno ya NAPE kuwa watu hao mliokuwa mnawataja oooh miia mbili mara elfu, mara 5000 kuwa wamejiunga na CDM ilikuwa ni uwongo na kama ilikuwa ni kweli kwanini isiendelee?
A rose by any name is still a rose. Usiangaike na majina, angalia athari zake. Na nyie oparesheni Zinduka imeishia wapi?
tulishuhudia chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA siku si chache walianzisha operation vua gamba vaa gwanda wakizunguuka baadhi ya mikoa lakini sasa kimyaa naw wamekuja na msamiati mpya eti M4C, swali la kujiuliza operation vua gamba vaa gwanda haikudumu muda mrefu, je ilikuwa ni usanii? mchezo wa kuigiza? mnatufanya tuamini maneno ya NAPE kuwa watu hao mliokuwa mnawataja oooh miia mbili mara elfu, mara 5000 kuwa wamejiunga na CDM ilikuwa ni uwongo na kama ilikuwa ni kweli kwanini isiendelee?