Mbona kama mnataka kubadili gia angani kama kawaida yetu? Iwe inazungumzwa au la acheni uwoga na kujificha. Tarehe 1 Sept. tokeni mkaandamane nchi mzima. Mambo ya oooh imefanikiwa ni kuandaa wafuasi wenu kisaikolojia ili ionekane kushikana ukuta kumefanikiwa tayari kabla ya tarehe yenyewe.
MapovuuMbona kama mnataka kubadili gia angani kama kawaida yetu? Iwe inazungumzwa au la acheni uwoga na kujificha. Tarehe 1 Sept. tokeni mkaandamane nchi mzima. Mambo ya oooh imefanikiwa ni kuandaa wafuasi wenu kisaikolojia ili ionekane kushikana ukuta kumefanikiwa tayari kabla ya tarehe yenyewe.
na nyie mtumbuen hyuakimtumbua LUGUMI ndio nitajua yupo siriasi
Unadhani Polisi mfano waue mwandamanaji eneo fulani kitakacho tokea hapo wewe na familia yako mtakuwa salama ndani ya nyumba wakati pengine ya jirani yako inachomwa moto?Ushauri wa bure amua mwenyewe kupata kichapo au kukaa nyumbani na familia yako
Tanzania ina siasa fake wengi wa viongozi wa upinzani ni undercover agent!! raia tunaumiza vichwa bure.....cha msingi tutii sheria tuheshimu watawala wetuKwenye uwanja wa vita kuna mbinu nyingi za kumshinda adui...ukiona adui yako analeta ubabe unabadili mbinu....hapa unaachana na ile ya piga nikupige
Vita ya mtaa kwa mtaa ndio vita ngumu zaidi kwakuwa hapa silaha nzito zile za kwenye uwanja wa vita hazitumiki tena.
Vita ya mtaa kwa mtaa ni vita inayohitaji werevu na mbinu makini..wengi hushindiwa hapa....Kwenye ulingi wa kisiasa nako kuna vita...Kuna vita ya
Sera, Propaganda, Vipaumbele, Kukosoana, Vita ya kumchosha mpinzani wako nk nk
DHIMA YA UKUTA
Dhima ya UKUTA ni kujijenga kisiasa, kujitangaza zaidi, kusikika zaidi na kumpoteza mpinzani
Ni neno lililoandaliwa kimitego, likiwa na utata fulani kwa tafsiri za kihuni, na mpinzani bila kujitambua akanasa kwenye huo mtego
Kwa kukosoa operation nzima na kukekeli neno UKUTA mpinzani hajui kuwa anasaidia kukitangaza chama buuuree...mkakati wa operation nzima umetolewa hadharani karibia miezi miwili kabla ya kufanyika..miezi miwili ni kipindi mkakati kisiasa kummaliza mpinzani
Sasa hivi ni UKUTA kila kona, mpinzani baada ya kufanya yake ni yeye na UKUTA kila uchao...Operation UKUTA imemlazimisha mpinzani akajinadi upya kwa wananchi kama yuko kwenye kampeni, mbinu ya kumchosha na kummaliza nguvu na kumpotezea muda
Operation UKUTA imevuta hisia za wengi na kuwaingiza wengi kwenye mjadala wakiwemo taasisi mbalimbali za serikali na NGOS tofauti
Sasa hivi mpinzani hasikiki tena, bali bila kujitambua amekuta anachezeshwa ngoma juani huku mwenzake akiwa pembeni kivulini kajaa vicheko
Operation UKUTA hata isipofanyika lakini kwenye medani za siasa na propaganda itakuwa imefanikiwa sana. ..
Mkuu Chakakaza hawa ndo Masaburi alisema wanafikiri kwa kutumia kiungo tofauti!yeye anadhani kwakuwa hatashiriki maandamano atakuwa salama.Unadhani Polisi mfano waue mwandamanaji eneo fulani kitakacho tokea hapo wewe na familia yako mtakuwa salama ndani ya nyumba wakati pengine ya jirani yako inachomwa moto?
Hali kama hii ya muhimu kuishauri serikali iwasikilize na wengine ili kuepusha madhara.
Kwani wewe mwana ccm sehemu yako ya biashara ikiharibiwa na kuingia umasikini ccm itakufidia kwa vile hukuandamana? Hapana, bali waweza kuwa wewe ndio umeathirika kuliko hata aliyefukuzana na mabomu.
Suluhisho serikali iseme mikutano na maandamano ruksa kwa utaratibu ule wa awali na kufuata kanuni basi.
Unaimanisha imepunguza imani ya jeshi la polis kwa wananchi?Inawezekana kuwa imefanikiwa kujijenga ila kumbuka imepunguza imani ya jeshi la polisi/vyombo vya ulinzi kwa wapinzani. Ndiyo maana tundu lissu alisema mahabusu si pahala pazuri. Nyie mashabiki mtaona sawa ila viongozi wenu wanakipata cha moto.
Ushauri wa bure amua mwenyewe kupata kichapo au kukaa nyumbani na familia yako
Ushauri wa bure amua mwenyewe kupata kichapo au kukaa nyumbani na familia yako
Kulikuwa na haja gani ya kurudiarudia ni kutojiamini ama?Ushauri wa bure amua mwenyewe kupata kichapo au kukaa nyumbani na familia yako