Mtumishi Wetu hakuna anayebisha juu ya hilo, ila sasa hiyo ndiyo sababu ya kumtukana na kufanya juhudi za kumkwamisha asifanye kazi? Je ni sahihi mnavyojiapiza mitaani kuwa Dr JPM na serikali yake hafiki 2020??? Je mna ajenda gani yuma ya pazia?? Je kwa nini kila akitumbua kama ni mtu wa kazikazini mnasema ni fitina?? Mfano yule wa bilioni kwa dakika wa arusha eti mnasema ni fitina kwa sababu alimsapoti lowasa??? Yaani huo unafiki wenu ndiyo utawapoteza, hakuna mtanzania mjinga tena wa kufanywa toilet paper kama mnavyowafanya misukule yenu chadema, watu sasa wanajielewaBila changamoto ya CDM Magufuli angepatikana wapi??
Lazima muiheshimu CDM na makamanda wake, maana CCM iliisha geuzwa genge la wanyanganyi!!
Kama unabisha muulize Mhs Rais JPM, kama ni kada wa kupiga subiri sasa ukatumbuliwe!!
Mshana: I see you as a great man who is very logical and soon I will give you a present. Mimi sina chama lakini point zako hapo juu zaukweli.Mudawote tuwe wakweli ukiamua kuingia kwenye siasa kubali yote...hebu ona kinachoendelea marekani kwasasa, siasa hazina adabu,hazina staha hazina heshima
Na hili wewe ni mmojawapo umeshawatukana sana hao uliowata matusi makubwa tu si mara moja bali mara nyingi umewakashifu kuwabeza na kuwakejeli, ni wakubwa zako hawa watu na familia na ndugu na majukumu yao...
Kwasababu tu ya kutofautiana mitazamo ya kisiasa ukaamua kujivua utu wako ukisaidiwa na ID bandia kuwatusi hasa....na shida yako kubwa huzungumzii mfumo, hujadili hoja bali mara zote umepeleka kashfa kejeli na matusi kwa hawa watu...hii pia ni siasa lakini siasa chafu siasa majitaka
Niangalie mimi tunatofautiana mitazamo lakini sijawahi kufanya kama ufanyavyo wewe na kundi lako...
Namkosoa Magufuli lakini simvunjii heshima yake wala utu wake kwakuwa nje ya cheo chake yule ni mkubwa wangu ni kaka yangu nk...nakushauri sana jizuie dhihaka kejeli na matusi tubishane na kupingana kwa hoja tena zenye mashiko...upinzani sio uadui
Mudawote ni wazi hatuwezi kuwa na mjadala tena kwakuwa nilichoandika mimi na ulichoandika wewe ni sawa na mbingu na nchimshana jr, mosi suala la US halinihusu sana kwani najua Trump==Tundu lissu/chadema na atashindwa vibaya mno. Pili, kwa Tz, tunachotofautiana na ninyi ni mfumo/uadilifu. Sisi tunaoamini ktk uadilifu tunawashangaa ninyi mnaosemea mfumo wakati lowasa (kama yeye) alienda akaubadili mfumo wa chadema kwa kutumia pesa na utashi wake, bado na sasa kawaambia waache uanaharakati (hiyo yote ni mifumo ya chadema).
Ina maana mtu binafisi anaweza kubadili mfumo maana kama lowasa alibadili mfumo wa chadema toka uadilifu mpaka kuwa chama cha kifisadi (maana chadema walihonga watu hela, walinunua kura, na wengine kuwaua baada ya kula zile hela pasipo kutumiza ahadi). Na ndivyo sisi tunaoamini uadilifu kuwa Dr Magufuli ataubadili mfumo wa kifisadi wa serikali/CCM na kuwa safi na kitu ambacho mpaka sasa keshaweza.
Angalia kila kona watumishi wa serikali wanajitahidi kuonesha uadilifu. Sasa tatizo wewe na wenzako mnamtukana rais, sisi tuache tu mmtukane???? Maana chadema mlifikia mpaka hatua mnawalipa hela vijana wamtukane rais (ushahidi yule kijana wa arusha mliyemchangia faini kupitia hamasa za viongozi wa chadema).
Ccm ni chama chakavu kilichojaa watu wenye mbinu za kishamba sana , hakika UKUTA inatangazwa zaidi na ccm.Kwenye uwanja wa vita kuna mbinu nyingi za kumshinda adui...ukiona adui yako analeta ubabe unabadili mbinu....hapa unaachana na ile ya piga nikupige
Vita ya mtaa kwa mtaa ndio vita ngumu zaidi kwakuwa hapa silaha nzito zile za kwenye uwanja wa vita hazitumiki tena.
Vita ya mtaa kwa mtaa ni vita inayohitaji werevu na mbinu makini..wengi hushindiwa hapa....Kwenye ulingi wa kisiasa nako kuna vita...Kuna vita ya
Sera, Propaganda, Vipaumbele, Kukosoana, Vita ya kumchosha mpinzani wako nk nk
DHIMA YA UKUTA
Dhima ya UKUTA ni kujijenga kisiasa, kujitangaza zaidi, kusikika zaidi na kumpoteza mpinzani
Ni neno lililoandaliwa kimitego, likiwa na utata fulani kwa tafsiri za kihuni, na mpinzani bila kujitambua akanasa kwenye huo mtego
Kwa kukosoa operation nzima na kukekeli neno UKUTA mpinzani hajui kuwa anasaidia kukitangaza chama buuuree...mkakati wa operation nzima umetolewa hadharani karibia miezi miwili kabla ya kufanyika..miezi miwili ni kipindi mkakati kisiasa kummaliza mpinzani
Sasa hivi ni UKUTA kila kona, mpinzani baada ya kufanya yake ni yeye na UKUTA kila uchao...Operation UKUTA imemlazimisha mpinzani akajinadi upya kwa wananchi kama yuko kwenye kampeni, mbinu ya kumchosha na kummaliza nguvu na kumpotezea muda
Operation UKUTA imevuta hisia za wengi na kuwaingiza wengi kwenye mjadala wakiwemo taasisi mbalimbali za serikali na NGOS tofauti
Sasa hivi mpinzani hasikiki tena, bali bila kujitambua amekuta anachezeshwa ngoma juani huku mwenzake akiwa pembeni kivulini kajaa vicheko
Operation UKUTA hata isipofanyika lakini kwenye medani za siasa na propaganda itakuwa imefanikiwa sana. ..
EL ni mamluki wa CCM, itafika wakati UKAWA wataamini hili. Yule mtu sio mpinzani kama tunavyodhani, sema wengi tuna mkurupuko wa asili, no reasoning zaidi ya kuzungusha mikono.mshana jr, tatizo siasa wanazoendesha upinzani si za kujenga. Hivi wewe unadhani kwa nini lowasa aliwaita chadema ni wanaharakati??? Hivi unadhani lowasa anafurahi hii hali??? Hivi lowasa unadhani anataka kushindana na rais??? Kama ulimsikiliza siku za karibuni alisema rais anafanya vizuri......, ila akina mbowe, lissu etc wao kila kukicha wanamtukana na kumdharau na kutaka kupambana na mamlaka ya rais, ilhali hawajui mamlaka yake, na ndiyo maana uadui umeongezeka kumbuka unapmtukana rais unatukana watanzania na vyombo vyake vyote
Kiongozi, hata wewe unamkashifu mkulu, sema you do it in a manner that few understand. Siasa zetu zimekuwa za personal attacks kwa viongozi zaidi ya hoja. Huyu atamsema JK, mwingine EL na mwingine JPM...that's how we argue.Mudawote tuwe wakweli ukiamua kuingia kwenye siasa kubali yote...hebu ona kinachoendelea marekani kwasasa, siasa hazina adabu,hazina staha hazina heshima
Na hili wewe ni mmojawapo umeshawatukana sana hao uliowataja matusi makubwa tu si mara moja bali mara nyingi umewakashifu kuwabeza na kuwakejeli, ni wakubwa zako hawa watu na familia na ndugu na majukumu yao...
Kwasababu tu ya kutofautiana mitazamo ya kisiasa ukaamua kujivua utu wako ukisaidiwa na ID bandia kuwatusi hasa....na shida yako kubwa huzungumzii mfumo, hujadili hoja bali mara zote umepeleka kashfa kejeli na matusi kwa hawa watu...hii pia ni siasa lakini siasa chafu siasa majitaka
Niangalie mimi tunatofautiana mitazamo lakini sijawahi kufanya kama ufanyavyo wewe na kundi lako...
Namkosoa Magufuli lakini simvunjii heshima yake wala utu wake kwakuwa nje ya cheo chake yule ni mkubwa wangu ni kaka yangu nk...nakushauri sana jizuie dhihaka kejeli na matusi tubishane na kupingana kwa hoja tena zenye mashiko...upinzani sio uadui
Hata kipindupindu kilikuwa maarufu nchini mwishoni mwa mwaka jana. Hiyo haimaanishi wananchi walikipenda. Kwenye siasa ukiwa hupendwi huna chako.Kwenye uwanja wa vita kuna mbinu nyingi za kumshinda adui...ukiona adui yako analeta ubabe unabadili mbinu....hapa unaachana na ile ya piga nikupige
Vita ya mtaa kwa mtaa ndio vita ngumu zaidi kwakuwa hapa silaha nzito zile za kwenye uwanja wa vita hazitumiki tena.
Vita ya mtaa kwa mtaa ni vita inayohitaji werevu na mbinu makini..wengi hushindiwa hapa....Kwenye ulingi wa kisiasa nako kuna vita...Kuna vita ya
Sera, Propaganda, Vipaumbele, Kukosoana, Vita ya kumchosha mpinzani wako nk nk
DHIMA YA UKUTA
Dhima ya UKUTA ni kujijenga kisiasa, kujitangaza zaidi, kusikika zaidi na kumpoteza mpinzani
Ni neno lililoandaliwa kimitego, likiwa na utata fulani kwa tafsiri za kihuni, na mpinzani bila kujitambua akanasa kwenye huo mtego
Kwa kukosoa operation nzima na kukekeli neno UKUTA mpinzani hajui kuwa anasaidia kukitangaza chama buuuree...mkakati wa operation nzima umetolewa hadharani karibia miezi miwili kabla ya kufanyika..miezi miwili ni kipindi mkakati kisiasa kummaliza mpinzani
Sasa hivi ni UKUTA kila kona, mpinzani baada ya kufanya yake ni yeye na UKUTA kila uchao...Operation UKUTA imemlazimisha mpinzani akajinadi upya kwa wananchi kama yuko kwenye kampeni, mbinu ya kumchosha na kummaliza nguvu na kumpotezea muda
Operation UKUTA imevuta hisia za wengi na kuwaingiza wengi kwenye mjadala wakiwemo taasisi mbalimbali za serikali na NGOS tofauti
Sasa hivi mpinzani hasikiki tena, bali bila kujitambua amekuta anachezeshwa ngoma juani huku mwenzake akiwa pembeni kivulini kajaa vicheko
Operation UKUTA hata isipofanyika lakini kwenye medani za siasa na propaganda itakuwa imefanikiwa sana. ..
Kipondo kiko pale pale kwa watakaoleta vurugu kwa mujibu wa sheria.Mudawote jitahidi sana kumuelewa Lissu, jifunze kumuelewa yule mtu...angalia mwisho wa siku alivyoibwaga serikali na jopo lake lote na wanasheria wake wote
Jeshi la polisi Na hizo organs nyingine zitatamba mitaani na kujeruhi miili lakini sio dhima, nia na focus ya kile kilichokusudiwa...
Niumize mtaani kwa virungu ila nakusubiri kwenye sheria
Nitashukuru ukinionyesha japo sentence moja ya kashfa...natumia jina halisi naandika kwenye mstari unaokubalika kisheria, kwahiyo siwezi kumkashifu yoyote kwasababu ya siasa au nje ya siasaKiongozi, hata wewe unamkashifu mkulu, sema you do it in a manner that few understand. Siasa zetu zimekuwa za personal attacks kwa viongozi zaidi ya hoja. Huyu atamsema JK, mwingine EL na mwingine JPM...that's how we argue.
Hakuna sheria za CCM mbwange,sheria ni inji hii bila kujali chama.Kwa mujibu wa sheria kandamizi za ccm
Hawa ndio vijana wanaotegemewa na ccm na ndani ya JF ndio sehemu ya Greater thinkers, jitahidi wewe na wale wengine kujenga hoja zenye kuleta mantiki na kuamsha mjadala na sio mipasho kama hii.... ID bandia zisiwapeni uhuru ulipitiliza kwakuwa mwisho wa siku utabaki wewe kama wewe lakini uhalisia utakuhukumuFanyeni mpigwe muumiye, acheni mdharauliwe. Mmelikoroga lazima mlinywe. Mlimsusa NS mkashindwa kupata sababu za kubadili uamuzi. Na hili mtapata aibu ileile.
Mwenyekiti wa tume ya haki ya binadamu alitaka kuwaokoa na aibu lakini ccm na polisi wamegoma. Sasa kazi kwenu kuamua kuchapwa au kukaa nyumbani kimya.
Mbowe aliwahi kuwalisha usaha ili mpinge katiba mpya ni nani aliyejitokeza?
Mpinzani ni ZZK pekee TanzaniaEL ni mamluki wa CCM, itafika wakati UKAWA wataamini hili. Yule mtu sio mpinzani kama tunavyodhani, sema wengi tuna mkurupuko wa asili, no reasoning zaidi ya kuzungusha mikono.