Operation UKUTA: Hit n run tactic

Naona mnajipa promo UKUTA Magu ajaribiwi.
 
Ukuta noma. Naona hta machinga mza wameruhusiwa kufanya bihshara katkat ya mji. Ila wamepewa miez 2 had 3 kuwanya mazungumzo.
 
Bila changamoto ya CDM Magufuli angepatikana wapi??
Lazima muiheshimu CDM na makamanda wake, maana CCM iliisha geuzwa genge la wanyanganyi!!
Kama unabisha muulize Mhs Rais JPM, kama ni kada wa kupiga subiri sasa ukatumbuliwe!!
 
Safi
 
Kaka mshana jr watu kama hawa sio wa kuwajibu. Kaa kimya as long as "mwerevu au mwenye busara huongea pale anapokua na kitu cha kuongea tu"
 
Mshana tabia ya mtu hujengwa na mazingira aliyokulia,kwa mfano mtu akizaliwa stendi na kukulia sokoni atakuwa na tabia za stendi na sokoni.
 
Fanyeni mpigwe muumiye, acheni mdharauliwe. Mmelikoroga lazima mlinywe. Mlimsusa NS mkashindwa kupata sababu za kubadili uamuzi. Na hili mtapata aibu ileile.
Mwenyekiti wa tume ya haki ya binadamu alitaka kuwaokoa na aibu lakini ccm na polisi wamegoma. Sasa kazi kwenu kuamua kuchapwa au kukaa nyumbani kimya.
Mbowe aliwahi kuwalisha usaha ili mpinge katiba mpya ni nani aliyejitokeza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…