mdetichia JF-Expert Member Joined Feb 13, 2015 Posts 5,292 Reaction score 2,172 Apr 1, 2015 #101 Tume ya Katiba said: Tupe mrejesho juu ya ufanisi wa Operesheni lukuki zilizotangulia Click to expand... Acha kujitoa ufahamu unajua kwa nini kule njombe mpaka leo hawajamaliza kuandikisha watu? We ni mtu mzima bana acha maswali ya kitoto.
Tume ya Katiba said: Tupe mrejesho juu ya ufanisi wa Operesheni lukuki zilizotangulia Click to expand... Acha kujitoa ufahamu unajua kwa nini kule njombe mpaka leo hawajamaliza kuandikisha watu? We ni mtu mzima bana acha maswali ya kitoto.
L LENDEYSON JF-Expert Member Joined Sep 27, 2013 Posts 2,996 Reaction score 2,659 Apr 1, 2015 #102 FaizaFoxy said: Wewe tunaongelea leo unaleta habari ya comparison, kama Yanga kafungwa goli 5 mwaka juzi na mwaka huu kafungwa goli 1 ndiyo kashinda? Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga? Click to expand... Wa kwanza kwenda kusomea Ujinga basi itakuwa Wewe. Kuileta issue ya Chalinze,Kalenga,na Serikali za Mitaa leo hii na wakati ni matukio yaliyokwishapita ni dalili ya kuwa, Shule Ulienda kusomea Ujinga, au huu wako Uliusomea Madrassa?
FaizaFoxy said: Wewe tunaongelea leo unaleta habari ya comparison, kama Yanga kafungwa goli 5 mwaka juzi na mwaka huu kafungwa goli 1 ndiyo kashinda? Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga? Click to expand... Wa kwanza kwenda kusomea Ujinga basi itakuwa Wewe. Kuileta issue ya Chalinze,Kalenga,na Serikali za Mitaa leo hii na wakati ni matukio yaliyokwishapita ni dalili ya kuwa, Shule Ulienda kusomea Ujinga, au huu wako Uliusomea Madrassa?
mdetichia JF-Expert Member Joined Feb 13, 2015 Posts 5,292 Reaction score 2,172 Apr 1, 2015 #103 FaizaFoxy said: Wewe tunaongelea leo unaleta habari ya comparison, kama Yanga kafungwa goli 5 mwaka juzi na mwaka huu kafungwa goli 1 ndiyo kashinda? Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga? Click to expand... Bi mkubwa na usomi wako nashangaa kwa nini mkulu hajakuona hata kwenye ubalozi wa nyumba kumikumi.
FaizaFoxy said: Wewe tunaongelea leo unaleta habari ya comparison, kama Yanga kafungwa goli 5 mwaka juzi na mwaka huu kafungwa goli 1 ndiyo kashinda? Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga? Click to expand... Bi mkubwa na usomi wako nashangaa kwa nini mkulu hajakuona hata kwenye ubalozi wa nyumba kumikumi.