Operation tigi tigi yagonga mikutano mia na saba

Yalioikuta nccr na cuf sasa yanaikuta chadema.Hata kuku akichinjwa lazima aruke ruke kisha ndio atulie tuli.Namuomba mungu anipe uhai ili nishuhudie chadema ikiyeyuka kama barafu.
 
Hii nchi kila mtu ni mchambuzi wa siasa, utasubili sana
 
Pongezi kwako kamanda Mawazo kwa kazi nzuri............. Nenda kamanda nendaaaaa.... Pasua mkuu tumesikia huko magamba mavi yanagonga chup
 
Jana tukiwa Kisesa tumekamilisha jumla ya mikutano mia moja na saba tangu kuanza kwake,mafanikio ni makubwa sana kwa maana kwamba tumevuna maelfu ya wanachama na tumeimarisha chama kwa maana ya uongozi kuanzia ngazi ya chini kabisa yaani misingi.
Leo tuko jimbo la Kishapu na mapambano yanasonga mbele kwa kasi ya ajabu.Tuombeeni,mtandao ukitulia nitawarushieni picha kuonyesha jinsi magamba yanavyoteketea...nakishukuru chama changu cha chadema kwa kuniamini na kunipa fursa hii adimu,nilitamani siku zote kuwa THE VOICE OF THE VOICELESS ...nawasilisha.

Mzee wa sound mambo yote ni ACT wazalendo.
 
Nimepoteza namba yako kamanda, simu yangu ilifuta namba zote, unaweza ku-pm tukaongea na kukuongezea nguvu kiasi fulani. Keep it up!
Mungu akuongezee mara dufu patakapopungua kamanda .
 
tunajua hiyo kazi ndo inayokupa kula. kila mmoja ni lazima aisifie ajira yake.
piga kazi mkono uende kinywani.

Back
Top Bottom