Operation Tandaza ACT Tanzania

Hela mnatoa wapi? Au mnayemfanyia kazi kesha wapa?
 
Mnaowapata ni wale njaa kama mwigamba tu. Kamwe mtu mwadilifu amtamuona act.
 
Mbona mnataka kuwapasua mioyo pro-Chadema...
 
Tunataka Mrejesho Wa Ziara Zenu Toka Mmeanza! Aibu Mnayoipata Hamtaisahau Kamwe!
 
Watapata madiwani toka jimbo la zzk

Mkuu comments zako nazikubali sana. Nikija supervision hapo Masasi nitakutafuta mkuu. Nimekukubali sana. Hiyo Masasi na kuwepo hospital kubwa kama Ndanda na Mkomaindo bado huduma ziko chini ya kiwango sana. Nitakupa rungu.
 
Mkuu comments zako nazikubali sana. Nikija supervision hapo Masasi nitakutafuta mkuu. Nimekukubali sana. Hiyo Masasi na kuwepo hospital kubwa kama Ndanda na Mkomaindo bado huduma ziko chini ya kiwango sana. Nitakupa rungu.

Mkuu karibu sana,mwanzo wa hesabu ni moja.
 
NIKO TAYARI KUJIUNGA NA CHAMA CHOCHOTE ILA SIYO CHAMA TAWALA AMA EXISTING OPPOSITION PATRTIES BALI CHAMA KIPYA KATIKA SIASA ZA TANZANIA
BY ZZK

source mkasi j3
 
Kila la heri,leo nikiwa natokea Mkoani nilifrahi sana kuiona Ofisi ya TEMEKE.Mungekuja na KUSINI,Hiki ni chama mbadala.
 

Tena wanatumika zaidi ya kondo........mtu.
 
Watapata madiwani toka jimbo la zzk
kajamaa kamevuta fuba za kutosha then kanawahadaa wengine- Pole sana mzee wangu Arfi kuingia kwenye huu mkenge. Huwa naambiwa kuwa uzee ni dawa lakini kwako ni tofauti kabisa kwamba uzee kwako sasa imekuwa ni maradhi - Presha, Pepo punda, Shurua,Kifaduro, Degedege nk.
 

Muongezee na Ebola kabisa
 
Ingekuwa njema kama wewe na wewe hapa usingepambana na opposition, Ulichofanya hapa ni kupambana na ACT ambao ni opposition, kwa hiyo kuna utofauti Gani???

Act siyo opposition party,Act ni opposition destroyer
 
Mbona jitihada zote naziona kwa mikoa ya Tabora, Kigoma na Katavi tu? Huko kwingne je hususan kule kusini?
mkuu, tawi lenu inabidi mlipe kipao-mbele, maana kwa mwendo huu watazigawaje kura za CDM 2015?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…