Hizi ni nyakati ambazo CHADEMA ilikuwa na watu wenye akili nyingi. Mbowe, Dr Slaa, Zitto, Mwesigwa Baregu, Prof Safari, Kitila Mkumbo, Mdee, Mnyika, Msigwa na wengine. Walikuwa wakiungwa mkono na hata wasio wanaCHADEMA. Walipoamua kubadili gia angani mwaka 2015 ndo ukawa mwanzo wa wao kuwa kituko.