assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,909
- 4,057
Maliberali hayo! Kwani Prof. atajikita zaidi kwenye misikiti ipi mkuu? Au ni katika yale maeneo yenye waislamu wengi? Mnalo mwaka huu - huku USHOGA kule UDINI. Poleni.
Mu liberali aka mdini hana maana kwa taifa hili labda kama atagombea u shekhe
Operation ya mchakamchaka hadi 2015 imeshika kasi na jana prof lipumba alifanya mkutano mkubwa pale zanziba na baadae itaendelea bara baada ya kusimama kule mtwara baada ya vurugu kubwa kutokea katika kuhamasisha wananchi kudai haki zao operation hii ni kiboko imeipiga bao m4c
chadema mbele daima
dogo ile kitu bado unayo panya na mende hapa home wanasumbuaNashangaa Liberal Party wanapambana na CHADEMA badala ya CCM.Anyways they must be aiming too high!