Prince Hope
JF-Expert Member
- Jul 21, 2012
- 2,154
- 447
Acha wivu wa kike bana,unafikiri akiondolewa kazi utapewa wewe?Operation Kimbunga imeanza kwa mafanikio! Nendeni Mwanza sasa.
Zipo taarifa zisizo na shaka kuwa katika Chuo kikuu kimoja, katikati ya jiji la mwanza mkabala na chuo cha BOT, kuna mhamiaji haramu.
Ni mwajiriwa katika chuo hicho pasi kuwa na uraia, work permit hata elimu stahiki.
Mara zote amekuwa akijitambulisha kama mzaliwa wa Shirati-Mara. Ukweli ni kwamba ni Mganda, kwa lafudhi yake tu, hamtapoteza muda kumrudisha kwao.
Nawasilisha.
Kila munu ave na kwao - By ChemundugwaoAcha wivu wa kike bana,unafikiri akiondolewa kazi utapewa wewe?
Acha wivu wa kike bana,unafikiri akiondolewa kazi utapewa wewe?
Kwa hiyo unashauri aachwe tu, asiguswe si ndiyo? mkuu jaribu kuwa na uzalendo japo kidogo.
Sasa hata kama wamesoma uganda ndo wakiambiwa kuimba wa taifa ndo waimbe: yahaya unaishi wapi, na jina lako halisi nani yahaya wee!?watanzania wengi waliosoma Uganda wana rafudhi ya kiganda, Je na wao ni Waganda? THREAD YA KIBAGUZI NA KIJINGA!
Acha wivu wa kike bana,unafikiri akiondolewa kazi utapewa wewe?
Kama raia mwema unawajibika kutoa taarifa zinaweza kusaidia utendaji kazi wa vyombo vya dola.Acheni Fitina, Wajamaaeni Eee fitina Mbaya "sheria zipo na wahusika wanashughulikia kampeni hii" msije kupoteza malengo...
Kila mmoja anafahamu wajibu wake. Tusipoteshe umma katika hili kuna wananchi hapa wamesoma nje na kuchanganya lugha na wenyeji wa huko kwa muda mrefu sasa hpo siitakuwa noma.!!
You are Right nakubaliana.....Kama raia mwema unawajibika kutoa taarifa zinaweza kusaidia utendaji kazi wa vyombo vya dola.
Hii kali, mbona waswahili wanakwenda kusoma Uingereza na kuishi huko zaidi ya miaka kumi na ushee lakini kingereza chao kinabaki na rafudhi ya kibantu tu. Sasa hii ya Uganda imekaaje?watanzania wengi waliosoma Uganda wana rafudhi ya kiganda, Je na wao ni Waganda? THREAD YA KIBAGUZI NA KIJINGA!
Acha wivu wa kike bana,unafikiri akiondolewa kazi utapewa wewe?
watanzania wengi waliosoma Uganda wana rafudhi ya kiganda, Je na wao ni Waganda? THREAD YA KIBAGUZI NA KIJINGA!
hiyo itajulikana hapo hapo atakapofatwa na operation kimbunga.Tz sio danguro