Kabla hawajamaliza sintofahamu ya nani aliyemkaribisha lowassa na kumpa fursa ya kugombea!
Kabla hawajamalizana na hoja kuntu za Slaa!
Kabla hawajafuta machungu ya kuachwa na Lipumba!
Kabla hawajamaliza mtafaruku wa kuachiana majimbo!
Kabla hawajamaliza sintofahamu ya nani afanye nini kwenye kampeni kati ya makapi na asilia!
Kabla ya kumalizia kuandaa ilani!
Kabla ya kuelezea ni nini watawafanyia wananchi!
Kabla hawajamfundisha na kumuwezesha mgombea wao kuongea kwa muda mrefu na kueleweka!
Kabla ya Viongozi kusafisha hali ya mambo katika majimbo wanayogombea!
CCM inazidi kuongeza spidi huku wakianzisha mashambulizi mapya na ya kushtukiza.
BYE BYE Ukiwa!
Kila kukicha unazidi kuwa jinga zaidi. Kesho utakuwa pumbavulao!Kabla hawajamaliza sintofahamu ya nani aliyemkaribisha lowassa na kumpa fursa ya kugombea!
Kabla hawajamalizana na hoja kuntu za Slaa!
Kabla hawajafuta machungu ya kuachwa na Lipumba!
Kabla hawajamaliza mtafaruku wa kuachiana majimbo!
Kabla hawajamaliza sintofahamu ya nani afanye nini kwenye kampeni kati ya makapi na asilia!
Kabla ya kumalizia kuandaa ilani!
Kabla ya kuelezea ni nini watawafanyia wananchi!
Kabla hawajamfundisha na kumuwezesha mgombea wao kuongea kwa muda mrefu na kueleweka!
Kabla ya Viongozi kusafisha hali ya mambo katika majimbo wanayogombea!
CCM inazidi kuongeza spidi huku wakianzisha mashambulizi mapya na ya kushtukiza.
BYE BYE Ukiwa!
Hivi kashfa ya Epa, Escrow, Madawa za kulevya, Twiga kwenda ughaibu , Mabehewa fake na vichwa treni ya CCM &Kashfa ya Richmond ya UKAWA, ipi imelitia Taifa hasara? Mbona inazungumziwa deal moja tu? Tuwekeeni mezani fact toka pande zote tujue ipi ilituumiza zaidi
Hahaaaaaa tangu lini mabadiliko yakaletwa na fisadiiii
Tena fisadi papa! Mpaka wakamwita The Don wakidhani ni sifa kumbe ni Mafia boss.
Kabla hawajamaliza sintofahamu ya nani aliyemkaribisha lowassa na kumpa fursa ya kugombea!
Kabla hawajamalizana na hoja kuntu za Slaa!
Kabla hawajafuta machungu ya kuachwa na Lipumba!
Kabla hawajamaliza mtafaruku wa kuachiana majimbo!
Kabla hawajamaliza sintofahamu ya nani afanye nini kwenye kampeni kati ya makapi na asilia!
Kabla ya kumalizia kuandaa ilani!
Kabla ya kuelezea ni nini watawafanyia wananchi!
Kabla hawajamfundisha na kumuwezesha mgombea wao kuongea kwa muda mrefu na kueleweka!
Kabla ya Viongozi kusafisha hali ya mambo katika majimbo wanayogombea!
CCM inazidi kuongeza spidi huku wakianzisha mashambulizi mapya na ya kushtukiza.
BYE BYE Ukiwa!
Ishu sio ccm kuongeza mashambulizi. Ishu ni watanzania kujitambua. Ila nimeamini watanzania husahau shida zao kwa vitu vichache sana. Leo hii tumeshasahau kwamba watoto wetu wanakalia matofali. Ukienda hospital ndo usiseme. Ila hatuujui wakati unaofaa
Ni bora kumpa fisadi moja kuliko fisadi kumi. Watanzania tuamke.kizuri chajiuza kibaya chajitembeza
Ukawa tujitahidi kupata wabunge wengi tubadilishe katiba. Kwa urais lowasa ni janga. Mbowe katukosesha urais kwa kumwacha Dr Slaa aliyekuwa na msimamo na ujasiri kuikomboa nchi yetu kutoka kwa mafisadi.
pumbavu
Ndio wanaotumiwa na lowassa
Binti punguza munkari juu ya hadhi yako kielimu.