Operation chaos UKAWA hawana pa kushika!

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
38,535
Reaction score
31,199
Kabla hawajamaliza sintofahamu ya nani aliyemkaribisha lowassa na kumpa fursa ya kugombea!

Kabla hawajamalizana na hoja kuntu za Slaa!

Kabla hawajafuta machungu ya kuachwa na Lipumba!

Kabla hawajamaliza mtafaruku wa kuachiana majimbo!

Kabla hawajamaliza sintofahamu ya nani afanye nini kwenye kampeni kati ya makapi na asilia!

Kabla ya kumalizia kuandaa ilani!

Kabla ya kuelezea ni nini watawafanyia wananchi!

Kabla hawajamfundisha na kumuwezesha mgombea wao kuongea kwa muda mrefu na kueleweka!

Kabla ya Viongozi kusafisha hali ya mambo katika majimbo wanayogombea!

CCM inazidi kuongeza spidi huku wakianzisha mashambulizi mapya na ya kushtukiza.

BYE BYE Ukiwa!
 
Wewe akili yako ni kama jina lako kweli
 
Mzee nakubaliana nawe. Je umepata cheti chako cha form iv baada ya ku resit? Kama bado zero yako inatofauti gani na std vii?

we ndo ziro, tena pumba kabisa...manake CCM wengi hawajielewi kama wewe ulivyo wanaburuzwa tu na viongozi wao madontochaaaa
 
Hivi kashfa ya Epa, Escrow, Madawa za kulevya, Twiga kwenda ughaibu , Mabehewa fake na vichwa treni ya CCM &Kashfa ya Richmond ya UKAWA, ipi imelitia Taifa hasara? Mbona inazungumziwa deal moja tu? Tuwekeeni mezani fact toka pande zote tujue ipi ilituumiza zaidi
 
Kabla hawajamaliza sintofahamu ya nani aliyemkaribisha lowassa na kumpa fursa ya kugombea!

Kabla hawajamalizana na hoja kuntu za Slaa!

Kabla hawajafuta machungu ya kuachwa na Lipumba!

Kabla hawajamaliza mtafaruku wa kuachiana majimbo!

Kabla hawajamaliza sintofahamu ya nani afanye nini kwenye kampeni kati ya makapi na asilia!

Kabla ya kumalizia kuandaa ilani!

Kabla ya kuelezea ni nini watawafanyia wananchi!

Kabla hawajamfundisha na kumuwezesha mgombea wao kuongea kwa muda mrefu na kueleweka!

Kabla ya Viongozi kusafisha hali ya mambo katika majimbo wanayogombea!

CCM inazidi kuongeza spidi huku wakianzisha mashambulizi mapya na ya kushtukiza.

BYE BYE Ukiwa!

Nimeamini jina la mtu humuwakilisha jinsi alivyo
 
Hivi kashfa ya Epa, Escrow, Madawa za kulevya, Twiga kwenda ughaibu , Mabehewa fake na vichwa treni ya CCM &Kashfa ya Richmond ya UKAWA, ipi imelitia Taifa hasara? Mbona inazungumziwa deal moja tu? Tuwekeeni mezani fact toka pande zote tujue ipi ilituumiza zaidi

Meno ya tembo na kutumia fisi kwenye mikutano yao
 
Tatizo kubwa la UKAWA ni wamekimbilia fupa ambalo CCM wamelishindwa....matokeoyake mpaka sasa wanahangaika kufanya usafi unaohitaji serious deep-diving....baada ya hapo ndo waanze bado kampeni....
 
Attachments

  • 1441561514911.jpg
    1441561514911.jpg
    6.5 KB · Views: 1,008
Kabla hawajamaliza sintofahamu ya nani aliyemkaribisha lowassa na kumpa fursa ya kugombea!

Kabla hawajamalizana na hoja kuntu za Slaa!

Kabla hawajafuta machungu ya kuachwa na Lipumba!

Kabla hawajamaliza mtafaruku wa kuachiana majimbo!

Kabla hawajamaliza sintofahamu ya nani afanye nini kwenye kampeni kati ya makapi na asilia!

Kabla ya kumalizia kuandaa ilani!

Kabla ya kuelezea ni nini watawafanyia wananchi!

Kabla hawajamfundisha na kumuwezesha mgombea wao kuongea kwa muda mrefu na kueleweka!

Kabla ya Viongozi kusafisha hali ya mambo katika majimbo wanayogombea!

CCM inazidi kuongeza spidi huku wakianzisha mashambulizi mapya na ya kushtukiza.

BYE BYE Ukiwa!

Ndivyo mlivyo washawishi waliowapa Bingo.sisi kwa mioyo yetu ya dhati na kwa gharama zetu tunampigia Lowassa kura na kumuombea.Nasikia mzee wa kaya kasema Magufuli akishinda atapata usingizi.Mnafikiri mnatuvuruga la hasha mnajivuruga.Yote mabaya mliyowaza juu yetu yatawajia kwa haraka kama umeme mara dufu na kuzidi ndipo mtajua Mungu ni Mungu wwa maskini wanyonge na wahitaji.Na kilio cha maskini kitakuwa msiba wenu naam maombolezo.Mmejiinua kwa njia moja mtatoweka kwa njia saba.
 
Hakuna anayesafishwa hapa,tushasena ni Lowassa inatosha!Hahiyaji kusafishwa kwa sabb wanaomtuhumu ni wachafu mara 1000 zaidi yake na bado wako kwenye mfumo huo tunaoutaka kuuweka pembeni.Hata aje Rais malaika namna gani lkn km mfumo bado ni ule ule naye ni mchafu tu!Hakuna jipya,miaka 50 yote ahadi zile zile lkn umasikini unazidi kutamalaki!
 
Ishu sio ccm kuongeza mashambulizi. Ishu ni watanzania kujitambua. Ila nimeamini watanzania husahau shida zao kwa vitu vichache sana. Leo hii tumeshasahau kwamba watoto wetu wanakalia matofali. Ukienda hospital ndo usiseme. Ila hatuujui wakati unaofaa
 
Back
Top Bottom