Operating System(windows 8) imecrush!Msaada wakuu

Operating System(windows 8) imecrush!Msaada wakuu

Ze Heby

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2011
Posts
5,944
Reaction score
6,777
Heshima mbele,nina hiyo pc yangu hp dv6,nilijaribu kuinstall software flan ikaiharibu windows na sasa nikiwasha pc inanipa option za kuchagua volume 4 au 2,na hata nikichagua moja wapo haidisplay kitu zaidi ya cursor ya mouse tu.Nipo Dar

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Pole mkuu! sasa huja sema unataka ku-reinstall ama? Na kama ndio hivo, unataka windows 8? Ni pm tumalize tatizo!
 
Ndio mkuu ila siitaki win 8 tena.Ikiwezekana niweke 7 ultimate

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Heshima mbele,nina hiyo pc yangu hp dv6,nilijaribu kuinstall software flan ikaiharibu windows na sasa nikiwasha pc ....
Hiyo Windows 8 kwenye iyo Laptop ilikuja nayo toka kiwandani ama uli-install mwenyewe?
 
Back
Top Bottom