chief-mkwawa nielekeze namna ya kufanya hii black update kwene Lumia 1320.. Nikienda kwene phone updates naambiwa your phone is up to date..lakin kwene extras and info wananionesha kwamba naeza pata hii update
habar JF, cm yang lumia 620,ilidondoka toka kitandan ikavunjika touchscreen,naweza pata spare yake original,na kwa bei gan hapa dar? respect in advance...

NAjua mnaongelea opera kwenye WP ila mie nna bell ya e6 opera min inazosaport ni 7 na 12 sina uwezo wa kuzoom maandishi na huku yakienea kwenye kioo yaani bila kukatika na kuyumbisha kioo.je napateje ya hivyo na ni link ipi mbali na store yao