Opera imetangaza operamini kwa ajili ya windows phone

Opera imetangaza operamini kwa ajili ya windows phone

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Posts
32,079
Reaction score
43,565
Je wewe unatumia simu yoyote ya windows phone na umeimiss opera?

usijali muda si mrefu itaingia store. Opera wametangaza inakuja hii browser na pia kwa wale wanaotaka kuitest wameeka link ya kusign.

Opera_mini_Site_Screenshot.JPG

link ya kusign beta hii hapa
Opera Mini for Windows Phone - Opera Software
 
Woi. ...opera mini Haina jipya. Kitu Mozila Firefox
 
Woi. ...opera mini Haina jipya. Kitu Mozila Firefox

Mozila, ie, chrome, dolphin, safari na maelfu mengine ya browser karibia zinafanana na unaweza tumia moja ukaacha nyengine.

ila opera na ucweb ni unique browser, zina kazi zake maalumu na huwezi kuzireplace isipokuwepo basi ujue ndio umeikosa hakuna alternative
 
Ninachoipendea UC BROWSER. Ni wakat wa ku download. Network ikikata au any error downloaded file ina ji pause automatically
 
Mi natumia opera classic iko poa..
 
Mkuu ninayo Nokia Windows phone 620. Ila ktk whatsapp hakuna sehemu ya kutuma audio. Hii inakuaje au ndo simu yangu??

kwanza update simu yako iende window phone 8.1 (cyan) then download files kutoka store.

utafungua files ambayo ni file manager kisha nenda folder la memory card then pictures, tengeneza sub folder liite jina lolote mfano whatsapp audio.

ukimaliza hapo juu tafuta audio file lako then lirename mfano lilikua linaitwa

jf.mp3 rename liwe jf.mp4

then licopy ukapaste kule kwenye folder letu la whatsapp audio.

ukimaliza hapo ingia whatsapp nenda send video then utaona ile audio file isend,

njia hio mimi ndio natumia kutuma audio files na zinaenda fresh. whatsapp wanatengeneza app yao kwa ajili ya wp8.1 ikikamilika shida zote hizi zitaisha
 
Wakati natumia wp kwa kweli i really missed opera. though ucweb ni good alternative pia it served me well. nilikuwa napenda wakati wa kuangalia youtube kwanza huitaji app ingine km kwenye android.

browser ni html5. ule uwezo wa kudownload video au audio wakati unatazama ni awesome

pia i cant deny watching movies kwenye simu bana kwa kutumua wp ni raha kuliko kwingine maana chaji inakaa mno....

now that im back to android. ntaimiss wp kidogo
 
wakati natumia wp kwa kweli i really missed opera. though ucweb ni good alternative pia it served me well. nilikuwa napenda wakati wa kuangalia youtube kwanza huitaji app ingine km kwenye android. browser ni html5. ule uwezo wa kudownload video au audio wakati unatazama ni awesome

pia i cant deny watching movies kwenye simu bana kwa kutumua wp ni raha kuliko kwingine maana chaji inakaa mno....

now that im back to android. ntaimiss wp kidogo
mi na komaa wp tu mwanzo mwisho..
 
Ki security ni bora safar, huku pengine kuna behind the scene ambazo ukizijua uaezun install hapo hapo ikiwa wewe ni mtanzania nyeti.
 
Je wewe unatumia simu yoyote ya windows phone na umeimiss opera?

usijali muda si mrefu itaingia store. Opera wametangaza inakuja hii browser na pia kwa wale wanaotaka kuitest wameeka link ya kusign.

Opera_mini_Site_Screenshot.JPG

link ya kusign beta hii hapa
Opera Mini for Windows Phone - Opera Software

Thanx. For the updates i really enjoy having windows phone 8.1 because i wana try someting new,android wako poa sana ila kadri inavoenda siku inazoeleka ...na hata upgrade zao kit kat hamna jipya saana kiivo japo android ndo ina run soko now. ....lets try this.
 
Ninachoipendea UC BROWSER. Ni wakat wa ku download. Network ikikata au any error downloaded file ina ji pause automatically

yes ila kwa matumizi mengine opera ni nomaaa.
 
kaka ni beta bado, likiondoka hilo neno beta ndio itakaa fresh

Mkuu, leo nilipita maeneo ya mlimani city katika duka la tigo nimakuta lumia 535 inauzwa 280,000/=
Vipi kuhusu hii simu ubora wake?? Japo niliitamani sana kupata Lumia 920. Unanishaur nini kuhusu hizo simu mbili??
 
kama unaweza kusubiri 640 ni bora zaidi kuna tofauti kubwa kati ya snapdragon 200 (535) na snapdragon 400 (640). bei hazitatofautiana sana.

lumia 920 ni nzuri kuliko 535 lakini kwa ajili ya future proof ni vyema ukanunua 535. siku yoyote hii 920 itasitishwa kupata updates maana ni ya zamani toka 2012.
 
Nimekuelewa mkuu. Hiyo 640 ni kipindi gani itakuwa imetoka. Coz mimi ni mpenzi wa windows phone. Nilikuwa natumia 620 ila imepasuka kioo cha juu.
 
Nimekuelewa mkuu. Hiyo 640 ni kipindi gani itakuwa imetoka. Coz mimi ni mpenzi wa windows phone. Nilikuwa natumia 620 ila imepasuka kioo cha juu.

april itakuwa madukani ila sijajua kama ni mwanzon au mwishon
 
Back
Top Bottom