mkuu nilichojifunza kwa wezi wakubwa ni kwamba kama huna pesa kamwe huwezi kufanya lolote huku duniani hata wizi hutoweza. pesa ndo kila kitu hata ukiwa mwizi huwezi kukamatwa kabisa.

Wasomaji mnatakiwa mchambue ni kutoa lesson learnt mkuu... Mimi nafanya marejeo na kuchapa kwenye lugha yetu pendwa tu... Nashukuru kwa mchango huu naamini utafanyiwa kazi.