Opera Heist: Uhalifu Uliokamilika

ahsante mkuu tupo pamoja
M
 
Halafu jamaa alikuwa anatumia njia za ardhini tu nina wasiwasi hata mpaka wa India hakuvuka na pipa... Waliendesha kidharau sana hiyo kesi mwisho wa siku jamaa akawaautosmart..
Alijua jinsi ambavyo wangefikiria na akawaachia hint wazifuate ili wampe muda wa kusepa
 
Nilisha wai ona muv yao moja iv inaitwa Hotel Mumbai yan polisi hamna kitu japo kua muv ni scripts zimepangwa wawe vile ila....kunakweli flani iv.....hawa kwa hii sekta wawaachie wenye fani yao....
 
Nilisha wai ona muv yao moja iv inaitwa Hotel Mumbai yan polisi hamna kitu japo kua muv ni scripts zimepangwa wawe vile ila....kunakweli flani iv.....hawa kwa hii sekta wawaachie wenye fani yao....
Kweli hata polisi wao vimeo sana aisee.. Sijajua military wise wamejipangaje... Na intelejensia yao pia
 
Nilichogundua uhalifu mwingi ulifanikiwa kulingana na nyakati

Kwa Sasa wizi kama huu, wa D.B Cooper na wengine hauwezi kufanikiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…