Openbox12 Hd Pvr na Jsc card | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Openbox12 Hd Pvr na Jsc card

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Arselona, Apr 11, 2012.

 1. Arselona

  Arselona JF-Expert Member

  #1
  Apr 11, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 638
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Habari Jamii. Poleni kwa msiba wa Kanumba ingawa naona kama maigizo vile. Naomba mnisaidie,nataka kununua mojawapo ya bidhaa nilizoandika hapo juu na nimesha fanya mawacliano na kampun hucka. Hivi nikiamua kununua itanilazimu kulipia kodi? Na uki2mwa kwa DHL nitaupokelea wapi mzigo wangu? Aidha wamenipa option 3 za usafiri, DHL,Ems na Hongkong post. Naomba faida na hasara za njia hizo.
   
 2. Biohazard

  Biohazard JF-Expert Member

  #2
  Apr 11, 2012
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 2,002
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  Tumia hata Honkong post kama upo Dar u will receive ur item from 8-14 days Am very sure. But kama utatumia EMS itachukua siku 4-6 from day of shipping, Hiyo HDL sijawahi kutana nayo.
   
 3. Arselona

  Arselona JF-Expert Member

  #3
  Apr 11, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 638
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  unamaanisha kwa kampuni zote ninatakiwa kupokea mzigo nikiwa dar? Na ushuru je nitahitaji kulipa? Naopt ku2mia hongkong post itanigharim $80 tu(item+transport cost).
   
 4. Biohazard

  Biohazard JF-Expert Member

  #4
  Apr 11, 2012
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 2,002
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  Hapana kwa aliye dar anawahi kupata mzigo kama ni mkoani fanya kuongeza 2 - 6 days baada ya mzigo kufika Dar kwa hongkong post. Nina maana ya kwama mzigo wako utakuja kwenye sanduku lako la barua. Utakuta Memo ya Regista kama watakutumia kwa mfumo wa register au utakuta kifurushi chako kwenye sanduku kama watatuma kwa njia ya letter/barua.
   
Loading...