OpenAI yaitaka serikali ya Marekani kupiga marufuku Deepseek

OpenAI yaitaka serikali ya Marekani kupiga marufuku Deepseek

Ukitumia VPN zinafanya kazi.

Nafikiri hawa walijiondoa China wao wenyewe kama nipo sahihi baada ya kuto kukubaliana na matakwa ya serikali ya China hasa kwenye kuhifadhi data ni kama scenario iliyo wakumba TikTok walipo ambiwa waweke data marekani

Hadi utumie VPN hiyo tayari ni restriction.

Case ya American apps na tiktok ni tofauti. China inapinga apps zote za nje under the great firewall policy.

Point is, nchi kupigana pin ni kawaida na China ni bingwa kwenye Hilo.
 
Kampuni ya akili mnemba ya Kimarekani OpenAI yaitaka serikali ya Marekani kuipiga marufuku akili mnemba Deepseek kutoka China ikiita kampuni inayopata usaidizi wa serikali na kudhibitiwa na serikali.

OpenAI calls on US government to ban DeepSeek, calling it ‘state-subsidized’ and ‘state-controlled’​

News
By Graham Barlow published March 14, 2025
The race is on to become the global AI leader by 2030

When you purchase through links on our site, we may earn an affiliate commission. Here’s how it works.
DeepSeek on an iPhone

(Image credit: Future)

  • OpenAI has proposed banning DeepSeek in critical areas
  • Calls DeepSeek "state-subsidized" and "state-controlled"
  • OpenAI would like to see the removal of "overly burdensome state laws"

OpenAI has sent a proposal to the Office of Science and Technology Policy that calls on the US government to ban the use of DeepSeek in governments, military, and intelligence services. Mentioning the Chinese AI by name, the proposal calls DeepSeek “state-subsidized” and “state-controlled”.

The letter, available on its website and signed by Chris Lehane, the Vice President of, Global Affairs at OpenAI, also proposes “banning the use of PRC-produced equipment (e.g., Huawei Ascend chips) and models that violate user privacy and create security risks such as the risk of IP theft” among what it called Tier 1 countries.

The letter says “As America’s world-leading AI sector approaches artificial general intelligence (AGI), with a Chinese Communist Party (CCP) determined to overtake us by 2030, the Trump Administration’s new AI Action Plan can ensure that American-led AI built on democratic principles continues to prevail over CCP-built autocratic, authoritarian AI.”
You may like

Identity crisis​

DeepSeek recently caused a shockwave in the AI industry by providing similar results to the ChatGPT o1 reasoning model with its DeepSeek-R1 model, but at a much lower price for developers and free for web browser use. Stock prices for companies heavily invested in AI saw an immediate drop, although the market has since returned to previous levels.

Many have questioned whether DeepSeek's rapid progress was truly down to an innovative new training methodology or whether it had “distilled” some training data from OpenAI against its terms and conditions. In fact, as we noticed on TechRadar, DeepSeek would sometimes mistake itself for ChatGPT when asked who it was.

A phone showing the DeepSeek app in front of the Chinese flag

(Image credit: Adobe Stock)

The race for AGI​

The letter from OpenAI states:
“As with Huawei, there is significant risk in building on top of DeepSeek models in critical infrastructure and other high-risk use cases given the potential that DeepSeek could be compelled by the CCP to manipulate its models to cause harm.”

There is no direct evidence to suggest that DeepSeek, which is owned and controlled by the Chinese hedge fund High-Flyer, is controlled by the Chinese government, however it's been noted that you cannot get the DeepSeek-R1 chatbot to answer questions about political topics sensitive to the PRC like the Tiananmen Square protests and massacre.

OpenAI clearly sees humanity as being on the doorstep to artificial general intelligence (AGI), which describes systems that possess human-like general intelligence. AGI is something that OpenAI has been working towards since its creation as a company, and the proposal also attacks the “overly burdensome state laws” that are holding it back.

“As our CEO Sam Altman has written, we are at the doorstep of the next leap in prosperity: the Intelligence Age. But we must ensure that people have freedom of intelligence, by which we mean the freedom to access and benefit from AGI, protected from both autocratic powers that would take people’s freedoms away, and layers of laws and bureaucracy that would prevent our realizing them.”

DeepSeek ni balaa!
 
Wanaogopa ushindani...
USA bwana hawa ndio walikuwa mbele kupigania free trade kula kukicha biashara huru na kulazimisha nchi zifunguke au hawatapata misaada ya WB au IMF ni miaka yote sasa hali imebadilika wanaleta siasa za kijamaa kulinda mashirika ya ndani game inawashinda.
 
DeepSeek ni balaa!
Baidu nao wiki hii wamedrop models 2 za AI wamekuja na matoleo hayo mapya ni moto level za DeepSeek tena kwa gharama nafuu kuliko DeepSeek

OpenAI safari hii wameyatimba

China continues to cook!
 
Hadi utumie VPN hiyo tayari ni restriction.

Case ya American apps na tiktok ni tofauti. China inapinga apps zote za nje under the great firewall policy.

Point is, nchi kupigana pin ni kawaida na China ni bingwa kwenye Hilo.
Nijaribu kuitetea China kwa picha ya magharibi na Soko huria dhidi ya udikteta na ukomunisti.

Mataifa ya magharibi ikiwemo marekani yamekuwa yakijichora kama mataifa yanayo fagilia mfumo mzima wa kidemokrasia na soko huria na kupinga kwa nguvu mfumo mzima wa kidikteta na udhibiti wa serikali wanao washutumu China na washirika wake.

Hiyo Great Firewall sioni kama ni tatizo kubwa kwa jinsi China ilivyo chorwa utendaji kazi wake na mataifa ya magharibi ajabu ni pale nao magharibi kuondoka katika ile picha ya demokrasia na soko huria waliojichora na kwenda kwa kwenye udikteta,ukomunisti na udhibiti wa serikali.

Nafikiri kama nipo sahihi tatizo lipo hapa labda kama unataka kuniambia magharibi hawakuwahi kuwa wafuasi wa kuaminika wa mfumo mzima wa kidemokrasia,soko huria au kwa sasa wanafanya kubadili misimamo yao ya awali
 
Nijaribu kuitetea China kwa picha ya magharibi na Soko huria dhidi ya udikteta na ukomunisti.

Mataifa ya magharibi ikiwemo marekani yamekuwa yakijichora kama mataifa yanayo fagilia mfumo mzima wa kidemokrasia na soko huria na kupinga kwa nguvu mfumo mzima wa kidikteta na udhibiti wa serikali wanao washutumu China na washiriki wake.

Hiyo Great Firewall sio kama ni tatizo kubwa kwa jinsi China ilivyo chorea utendaji kazi wake na mataifa ya magharibi ajabu ni pale nao magharibi kuondoka katika ile picha ya demokrasia na soko huria waliojichora na kwenda kwa kwenye udikteta,ukomunisti na udhibiti wa serikali.

Nafikiri kama nipo sahihi tatizo lipo hapa labda kama unataka kuniambia magharibi hawakuwahi kuwa wafuasi wa kuaminika wa mfumo mzima wa kidemokrasia,soko huria au kwa sasa wanafanya kubadili misimamo yao ya awali

Kuendelea kuwa huria wakati mwenzako anakupiga pin ni ufala. Yani yeye alete kila kitu kwako wakati hataki wewe upeleke chochote kwake? Hiyo biashara kichaa.
 
USA bwana hawa ndio walikuwa mbele kupigania free trade kula kukicha biashara huru na kulazimisha nchi zifunguke au hawatapata misaada ya WB au IMF ni miaka yote sasa hali imebadilika wanaleta siasa za kijamaa kulinda mashirika ya ndani game inawashinda.
Mchina anatumia mbinu hii.
"Beat you at your own game"
means to defeat someone by using their own methods, tactics, or strategies against them, often in a way that is more effective than they anticipated.
 
Kuendelea kuwa huria wakati mwenzako anakupiga pin ni ufala. Yani yeye alete kila kitu kwako wakati hataki wewe upeleke chochote kwake? Hiyo biashara kichaa.
Hapo nimekupata.
 
Baidu nao wiki hii wamedrop models 2 za AI wamekuja na matoleo hayo mapya ni moto level za DeepSeek tena kwa gharama nafuu kuliko DeepSeek

OpenAI safari hii wameyatimba

China continues to cook!
Tencent nao wamekuja na AI yao, ByteDance nao pia AI race itakuwa na moto sana kwa miaka inayokuja
 
Tencent nao wamekuja na AI yao, ByteDance nao pia AI race itakuwa na moto sana kwa miaka inayokuja
Umesema vyema

China wana researchers na filed patents kama zote kwenye AI na hayo ndiyo matokeo yake.

Ule mkutano wa Xi na wakuu wa kampuni za tech za China ulikua na ajenda nzito sana

Huu mwaka tutaona mengi ya kustaajabisha kutoka China kwenye Sci-tech.

Tayari EUV machine imezinduliwa na Huawei
 
TRAMP alizani kuirudisha ile MAREKANI ya kupindi kile ni kutangaza tu kwenye kampeni au kutoa Tamko!!!!

Uku akiwabana Washilika wao!!!! Ukija kwenye Technologiai ni Wachina na Wahindi ndio wameyadhibiti mashilika makubwa yote apo MAREKANI !!!

wasomi wakubwa kiasi ata DG w FBI tumewapa sisi Wazungu walilewa ukubwa wakajisaau wakategeana kusomo kila kijana akajiona kwann aumize kichwa mwanzangu atasoma !!!

Imefika ata YEMEN + IRAN anawasumbua ktk Technologia ya silaha. TRAMP yupo kwenye zama za ukuu lkn vijana wake ndio tatizo Wameiyangusha ile inchi miaka 30 iliopita!!!!

kwasasa ile nchi kwa kukwepa masomo!!! uko ulaya wanawabagua wasomi wa kichina na Iran kujiunga kusomea Baadhi ya Masoma !!!

yani Wazungu waliikusudia ayo masomo wawasomeshe wazungu wenzao lkn sifa za kusomea iyo Program awana wenye Sifa wengi kutoka China na IRAN sasa wanawazuiya !!!!

kuna kwengine wanawazuiya wa Iran tu.

Vijana wao ni pombe kutembea na wachumba wao yani kutalii wao ndio wanapenda sio kusoma sana!!

kwasasa uyo Tramp na fukuza yake lkn ikiwa ww ni Msomi wapi awakugusi na unanyenyekewa!!! Ndio icho wachina wamegundua wanabukua kisawasawa wakiwa kwao !!!!

kisha wanaenda kujiunga upya kwenye chuo Marekani na ULAYA kusomea kilekile anakijua mwisho wanashawishiwa wao kubaki pale na wanapewa kila kitu... sasa Tramp anataka kuikabili china uku kwake Wasomi muimu ni wachina!!!!!!!!!!!
 
Umesema vyema

China wana researchers na files patents kama zote kwenye AI na hayo ndiyo matokeo yake.

Ule mkutano wa Xi na wakuu wa kampuni za tech za China ulikua na ajenda nzito sana

Huu mwaka tutaona mengi ya kustaajabisha kutoka China kwenye Sci-tech.

Tayari EUV machine imezinduliwa na Huawei
Hatari
 
Baidu nao wiki hii wamedrop models 2 za AI wamekuja na matoleo hayo mapya ni moto level za DeepSeek tena kwa gharama nafuu kuliko DeepSeek

OpenAI safari hii wameyatimba

China continues to cook!

Soko (wateja) ni wengi mno!

BIashara iwe kama mitandao ya simu.

Programmers matatani
 
Back
Top Bottom