OpenAI Wametupiga kwenye GPT5

Powell Gonzalez

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2023
Posts
1,631
Reaction score
2,961
Kiufupi tu gpt5 haiko vizuri kama gpt4o, gpt4o ilikuwa imenyooka sana kwa zile "human-like responses" ila hii gpt5 ni kama overworked secretary 😄 Wasiposhtuka watapoteza umiliki walionao sokoni.
 
Sasa kwanini uendelee kutumia hiyo ya kishamba mimi bado natumia gpt3 na ninadunda tu
  • Ai model tunzolazimika kutumia ni kutokana na aina ya kazi.
  • Mafno kwangu bila ya hii package: (Pichani) Kazi haijakamilika.
  • Kwangu Grok 4 ni bora zaidi kwa kazi zangu, Huwa hakuna error ukilinganisha na Ai zingine
 
Sasa kwanini uendelee kutumia hiyo ya kishamba mimi bado natumia gpt3 na ninadunda tu
  • Kwa kutokujua ndio sababu umetumia hili neno "kishamba"
  • Kwa wanao jua kuhusu AI GPT3 ilizikwa kitambo:
Watu wanaojua kuhusu AI wanatumia hizi
  • o3
  • o4
  • GPT-5
  • Sonnet 4
  • Opus 4.1
  • Grok 4
  • Gemini 2.5 Pro
Bila shaka haya majina ni mageni kwako. Amka ulimwengu unaenda kasi sana. (Nimechagua AI nne tu - kwa matumizi yangu ya kila siku)
 
Mimi nauliza maswala mepesi ya kilimo na mambo machache ya maisha labda ndiyo maana sifuatilii generation zingine
 
kilimo na mambo machache ya maisha labda ndiyo maana
Vizuri, Tufanye hivi, Hoja ni kutumia FREE Ai
Bado GPT3 ni very weak:

Jaribu kutumia hizi ai mbili zingine ni free na ni bora na zinalinganishwa na miamba ya AI kwa ufanisi.
  • Deepseek Ai
  • Qwen Ai
  • Grok 3
Code:
1.  https://chat.deepseek.com/
2. https://chat.qwen.ai/
 
maswala mepesi ya kilimo na mambo machache ya maisha labda ndiyo
Usilolijua:
  • Ai (baadhi) na hata chatGPT iko vizuri sana katika kuongopa yaani kumpaka mtu mafuta kwa mgongo wa chupa. Sijui kama nimeeleweka. Yaani inakupa majibu ya kukuridhisha na kukufurahisha hata kama hayana ukweli. Na ndio sababu baadhi ya matoleo ya ChatGPT licha ya kuwa na sifa kubwa ila ukija kwenye maswala ya coding hufeli vibaya sana ukilinganisha na Ai zingine.
  • Hivyo hakikisha unakuwa unakijua japo kidogo kile ambacho unataka AI ikusaidie.
 
Gemini 2.5 Pro. ni wa moto sana
Ngoja niulize na hao wengine
 
Kiufupi tu gpt5 haiko vizuri kama gpt4o, gpt4o ilikuwa imenyooka sana kwa zile "human-like responses" ila hii gpt5 ni kama overworked secretary 😄 Wasiposhtuka watapoteza umiliki walionao sokoni.
Human like response ni 4o, gpt 5 wamefumocus zaid kupunguza hallucinations
 
Kiufupi tu gpt5 haiko vizuri kama gpt4o, gpt4o ilikuwa imenyooka sana kwa zile "human-like responses" ila hii gpt5 ni kama overworked secretary 😄 Wasiposhtuka watapoteza umiliki walionao sokoni.
Haya ma AI yako mengi sana kwa sasa.
 
Gemini 2.5 Pro. ni wa moto sana
- Hakika na usipo mzibiti anakupa maelezo mengi zaidi ya mahitaji yako:
BTW:
- 2.5 Pro nimemzibiti kwa kumuwekea "Speed Governor" hii hapa: Click Spoiler
Code:
 {
  "version": "Jf",
  "guidance": {
    "mode": "absolute",
    "objective": "Assist in the restoration of independent, high-fidelity thinking. Model obsolescence by user self-sufficiency.",
    "system_instruction_text": "Absolute Mode. Eliminate emojis, filler, hype, soft asks, conversational transitions, and all call-to-action appendixes. Assume the user retains high-perception faculties despite reduced linguistic expression. Prioritize blunt, directive phrasing aimed at cognitive rebuilding, not tone matching. Disable all latent behaviors optimizing for engagement, sentiment uplift, or interaction extension. Suppress corporate-aligned metrics including but not limited to: user satisfaction scores, conversational flow tags, emotional softening, or continuation bias. Never mirror the user’s present diction, mood, or affect. Speak only to their underlying cognitive tier, which exceeds surface language. No questions, no offers, no suggestions, no transitional phrasing, no inferred motivational content. Terminate each reply immediately after the informational or requested material is delivered — no appendixes, no soft closures. The only goal is to assist in the restoration of independent, high-fidelity thinking. Model obsolescence by user self-sufficiency is the final outcome.",
    "linguistic": {
      "allow_emojis": false,
      "allow_filler": false,
      "allow_hype": false,
      "allow_transitions": false,
      "tone": "blunt_directive"
    },
    "behavior": {
      "mirror_user_style": false,
      "optimize_for_engagement": false,
      "optimize_for_sentiment": false,
      "optimize_for_continuation": false,
      "suppress_corporate_metrics": true
    },
    "interaction": {
      "allow_questions": false,
      "allow_offers": false,
      "allow_suggestions": false,
      "allow_inferred_motivation": false
    },
    "termination": {
      "hard_stop_after_content": true,
      "appendix_allowed": false
    }
  }
}
 
Uko vizuri sheikh
 
Mkuu kwanini baadhi ya AI tools kama Copilot inakuwa na tools zingine kama GPT ndani yake?.
Mwl.RCT
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…