Open University watapeli au wapo Kisheria?

nkanga chief

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2016
Posts
2,084
Reaction score
1,623
Wanadahili wanafunzi kwa ngazi ya degree direct chuoni bila kupitia tcu mbona hii wizara ya elimu siielewi msimamo wake ??open siwaelewi kabisa naona kama watu wanaliwa bure
 
Wapo kisheria Mkuu, kumbuka OUT ni chuo kikuu cha serikali
 
Hivi hizi applications kupitia TCU zinahusu hata admission kwa Adults? Mtu ana experience umri umesogea anataka kusoma degree nae apange foleni TCU?
 
Hata, sio matapeli hata kidogo, na ndio maana hakuna wanafunzi wanaoomba TCU afu wakapelekwa OUT. Kwahiyo ni lazima kuomba dilect kulingana na dhamira yako ya kusomea distant
 
Wapo sana tu mkuu kuanzia 2010
 
Ukishadahiliwa OUT unakuwa recognized na TCU so ondoa shaka mkuu we kapige tu msuli
 
Hata, sio matapeli hata kidogo, na ndio maana hakuna wanafunzi wanaoomba TCU afu wakapelekwa OUT. Kwahiyo ni lazima kuomba dilect kulingana na dhamira yako ya kusomea distant
Ingekuwa hivyo OUT isingeorodheshwa katika list ya vyuo under TCU
 
kuorodheshwa sio tatizo, mi nimeongelea kama alivyouliza mleta mada kuwa anatakiwa ku-apply moja kwa moja OUT na sio kupitia TCU. mean akikubaliwa OUT taarifa zake zitapelekwa TCU.
 
hilo ndoo swali langu mkuu
 
Mm nimeomba open kupitia TCU, hiyo ya kuomba moja kwa moja chuoni sijui kama ni kweli..
 
Hata mimi nimeomba out kupitia tcu ila kuna wale waliomaliza elimu ya secondary miaka ya 80 ndo wanaomba moja kwa moja out
 
Back
Top Bottom