Open University Selection | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Open University Selection

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Kifulambute, Jul 11, 2011.

 1. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #1
  Jul 11, 2011
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,506
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  habari za asubuhi wanajanvi? natumaini hamjambo na mnaendelea na kulisukuma gururdumu la maendeleo.....Jamani naomba kujulishwa ni lini selection ya open University of tanzania kwa Masters 2011/2012 intake itafanyika?
   
 2. J

  JUNGU MTU Member

  #2
  Jul 11, 2011
  Joined: Jul 10, 2011
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Why not ma blood.itafanyika tu kwani we unanyepesi ulizopata mpaka unahisi haito fanyika hiyo selection ya ou
   
 3. HAZOLE

  HAZOLE JF-Expert Member

  #3
  Jul 11, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,331
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  batch one imeshatoka na imesambazwa kwenye vituo vyote nchini. Plz tembelea centre yeyote ya open university watakuonyesha.
   
 4. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #4
  Jul 11, 2011
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,506
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135

  Ahsante kwa taarifa yako...kwenye website yao hakuna kwa nini wasiweke???
   
 5. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #5
  Jul 11, 2011
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,506
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135

  siunajua tena maandalizi ya mbongo!!! inabidi watoe mapema ili tujiandae vizuri na mshiko wenyewe unaishia kwenye TANESCO/Symbion
   
 6. R

  Retreat JF-Expert Member

  #6
  Jul 19, 2011
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 210
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Hazole, are sure kuwa batch one imetoka? Mbona kuna watu hata tangazo la kuapply hatujaliona na tunasubiri kwa hamu? Nipe details zaidi mkuu.
   
 7. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #7
  Jul 22, 2011
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,506
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  pole sana maana iliisha toka may 30
   
Loading...