Open relationships....do they work?

Mwanajamii, The last Don
Open relationships ni zile ambazo hazina sifa nyingi za relationships za kawaida. Kwa mfano, watu wanakubaliana kutooneana wivu, wanaweza ku date watu wengine na huwa zinaweza kuvunjika muda wowote hata bila taarifa. Mara nyingi zinaunganishwa na kitu kimoja tu "NGONO"

Sijui nakosea ila nauliza, kuna movie moja inaitwa friends for benefit, wao walikubaliana kupeana ngono tu je ni type kama hizo?
 
Sijui nakosea ila nauliza, kuna movie moja inaitwa friends for benefit, wao walikubaliana kupeana ngono tu je ni type kama hizo?
Sikumbuki kama nimeiona lakini nimeiona "No Strings Attached" Iko kama hivyo lakini taabu ni kwamba mwisho wa siku mi naona kama haiwork
 
Back
Top Bottom