well nikwambie kitu kimoja kwa haraka haraka itaonekana kuwa hii italeta maambukizi mengi ya ukimwi ila ukweli ni kwamba itapunguza. kulinga na stats inaonekana kuwa maambukizo mengi utokea kati ya wanandoa na bf/gf relationships. actually statistically ur are less likely kupata ngoma kutoka kwa malaya than ur wife/husband or gf/bf. hivyo basi mkiwa na open relationship kila mtuu atakuwa anajua kabisa kuwa huyu mwezangu anagawa kwa wengine hivyo full kijikinga. naamini utakubaliana na mie kuwa wengi waliokuwa kwenye mahusiano ya bf/gf mwishio wanakulana peku lakini hilo huwezi fanya kwa malaya au mwanamke/mwanamume yeyote yule ambaye una uhakika kuwa anatoa utamu nje
Habarini wanaJF. Nimeshangaa kuona kwenye FB wabongo wengi wanaweka kwamba wako kwenye open relationship na wanaiona ni hype au fashion flani. Hata kuna wengine eti wanapewa hongera/ likes moving from relationship to open relationship...
Je, open relationship ina maana gani au ni mimi nimekuwa nikielewa maana tofauti....
Nawasilisha.
they don't work,hayo mambo ya ulaya tuwaachie he!hivyo face buk itawaharibu watu wasiofikiri ka kweliUnajua taabu yangu ni kwamba
tafiti zinaonyesha kwamba the longer you stay together ndivyo bond
between you inapokuwa kubwa na hiyo inasababisha hisia za umiliki kuanza
kujitokeza ndio maana nikawa nauliza does it really work?
Will na Jada ni US sio Ulaya.Hata huko Ulaya pia imefail na mfano mzuri ni wa Willy Smith na Jada Pinket
Mmmh... Hii mbona kwangu naona kama ni kitu cha ajabu sana..!
Kwa sababu hukijui lazima ukione cha ajabu. Jifunze kujifunza mambo mapya, kuna baadhi yakawa na manufaa yakakufaa.